Tyrone Kaijage
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 1,616
- 3,430
Si usimpende hakutaki huyo
Tafuta watu walokua akiliHabari ya wakati huu
Katika pitapita zangu za hapa na pale za kutafuta mke nimekutana na binti wa kipare na mlokole ambae tulipotezana muda mrefu sana , kiukweli binti yupo single/ haja olewa wala hana mtoto na tabia yake ni ya kuridhisha nikajisemea cz natafuta mke acha ni mtongoze
ila katika harakati za kupiga piga story nimemtongoza na akanijibu nimekuelewa ila usinipende mimi sitaki kupendwa..
Ndugu zangu sasa hapa na fikiria namna ya kufumua huu mtego wakuu..imekaaje hii ndugu zangu
Kusaidianawewe shida yako kupendwa??? yani hawa ndo mademu wanaotakiwaaa sema asiwe anapiga mizinga mikubwa sasa
Sio lazima kua naeHabari ya wakati huu