Nimemtongoza ila kanijibu nisimpende

Nimemtongoza ila kanijibu nisimpende

jjs2017

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2019
Posts
2,027
Reaction score
4,316
Habari ya wakati huu

Katika pitapita zangu za hapa na pale za kutafuta mke nimekutana na binti wa kipare na mlokole ambae tulipotezana muda mrefu sana , kiukweli binti yupo single/ haja olewa wala hana mtoto na tabia yake ni ya kuridhisha nikajisemea cz natafuta mke acha ni mtongoze

ila katika harakati za kupiga piga story nimemtongoza na akanijibu nimekuelewa ila usinipende mimi sitaki kupendwa..

Ndugu zangu sasa hapa na fikiria namna ya kufumua huu mtego wakuu..imekaaje hii ndugu zangu
 
Habari ya wakati huu

Katika pitapita zangu za hapa na pale za kutafuta mke nimekutana na binti wa kipare na mlokole ambae tulipotezana muda mrefu sana , kiukweli binti yupo single/ haja olewa wala hana mtoto na tabia yake ni ya kuridhisha nikajisemea cz ngu
Kwani wanawake wengine hawapo mkuuu 🤔

Au moyo ushamzimia huyo
 
Kakuona hauna ela. Au hauna muonekano wa mtu mwenye pesa au anaeweza kuja kua na pesa huko mbele ya safari.

Ungekua na chambi chambi ungeishia kuulizwa tu, "unanipenda kwani wewe hauna mke?" Unajua hapo tayari kuku ameshakubali kuchinjwa [emoji39]

Moral of the story: Tafuta ela!
 
Habari ya wakati huu

Katika pitapita zangu za hapa na pale za kutafuta mke nimekutana na binti wa kipare na mlokole ambae tulipotezana muda mrefu sana , kiukweli binti yupo single/ haja olewa wala hana mtoto na tabia yake ni ya kuridhisha nikajisemea cz natafuta mke acha ni mtongoze

ila katika harakati za kupiga piga story nimemtongoza na akanijibu nimekuelewa ila usinipende mimi sitaki kupendwa..

Ndugu zangu sasa hapa na fikiria namna ya kufumua huu mtego wakuu..imekaaje hii ndugu zangu
Ndio sababu yupo singo mpaka sasa
 
.....may be Nenda nae taratibu atakubadilishia gear angani
 
Habari ya wakati huu

Katika pitapita zangu za hapa na pale za kutafuta mke nimekutana na binti wa kipare na mlokole ambae tulipotezana muda mrefu sana , kiukweli binti yupo single/ haja olewa wala hana mtoto na tabia yake ni ya kuridhisha nikajisemea cz natafuta mke acha ni mtongoze

ila katika harakati za kupiga piga story nimemtongoza na akanijibu nimekuelewa ila usinipende mimi sitaki kupendwa..

Ndugu zangu sasa hapa na fikiria namna ya kufumua huu mtego wakuu..imekaaje hii ndugu zangu
1. Ashapigwa matukio kaiva, hataki tena kupendwa akijua ukimpenda ukamwonesha upendo nae atakupenda. Siku ukipiga tukio na wewe ataumia sana.

2. Ana mtu mwingine au hata zaidi. Anapima huku na kule hataki kuingia miguu miwili.

Otherwise, niwaambie tu nimeachwa tena🥲
 
Habari ya wakati huu

Katika pitapita zangu za hapa na pale za kutafuta mke nimekutana na binti wa kipare na mlokole ambae tulipotezana muda mrefu sana , kiukweli binti yupo single/ haja olewa wala hana mtoto na tabia yake ni ya kuridhisha nikajisemea cz natafuta mke acha ni mtongoze

ila katika harakati za kupiga piga story nimemtongoza na akanijibu nimekuelewa ila usinipende mimi sitaki kupendwa..

Ndugu zangu sasa hapa na fikiria namna ya kufumua huu mtego wakuu..imekaaje hii ndugu zangu

Unataka akutukane? Hakutaki jiongeze.
 
Ana mtu wake ila wewe una hela na utapewa mbususu na milio kama yote sababu ya hela yako.FUNGUA MACHO UTAZAME MBELE
 
Back
Top Bottom