TONY LOVE
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 720
- 378
Mimi ni kijana wa miaka 27, nafanya kazi. Nimeoa mwanamke ambaye tumedumu uchumba kwa mwaka na nusu. Nimetoa mahari zaidi ya milioni na nusu.
Amekuja mkoa ninaofanya kazi, lakini vituko anavyonifanyia ni hatari. Hadeki, kunipa penzi mpaka ajisikie yeye mwenyewe hata kama mimi nina nyege ananiyima penzi.
Pia anadai kurudi kwao mazingira yamemshida. Mambo mengi ananifanyia huyu mke wangu, mpaka nakuwa natokwa na machozi maana hata mwezi hajamaliza ananiletea vituko hivi.
Kinachoniuma ni pesa niliyomtolea. Naombeni ushauri ndugu zangu, nifanyeje? Pia, kama akirudi kwao naweza kurudishiwa mahari yangu?