Nimemtolea mahari sasa ananipa shida, najuta!

TONY LOVE

JF-Expert Member
Jun 8, 2015
720
378
Mimi ni kijana wa miaka 27, nafanya kazi. Nimeoa mwanamke ambaye tumedumu uchumba kwa mwaka na nusu. Nimetoa mahari zaidi ya milioni na nusu.

Amekuja mkoa ninaofanya kazi, lakini vituko anavyonifanyia ni hatari. Hadeki, kunipa penzi mpaka ajisikie yeye mwenyewe hata kama mimi nina nyege ananiyima penzi.

Pia anadai kurudi kwao mazingira yamemshida. Mambo mengi ananifanyia huyu mke wangu, mpaka nakuwa natokwa na machozi maana hata mwezi hajamaliza ananiletea vituko hivi.

Kinachoniuma ni pesa niliyomtolea. Naombeni ushauri ndugu zangu, nifanyeje? Pia, kama akirudi kwao naweza kurudishiwa mahari yangu?
 
Unajiita Love unategemea kuwa mwanaume? Huyo mkeo ashajua hamna kitu hapo, yani Tony alafu Love kwa kawaida unadhani tutegemee nini.
Anyway, achana na hiyo pesa hesabu kama hasara. Toa huyo mchumba wako ubaki mwenyewe ila kama utajifanya kuvumilia utaachana nae baadae uumie zaidi wewe buy time
 
Life is not fair tonylove,vilio vimezidi jamani kwani nyie wanaume ndo wenye matatizo ama ni wanawake
IMG_20211009_221706.jpg
 
Bro inamaana haukufanya risk calculations?, Ulikua na high expectations au ulikurupuka?. Jibu yaweza kua vyote au moja kati ya hayo.

Lakini, mtu kama umeingia ndoani lazima uwe na uwezo wa kuvumilia, tena sanaaa huyo ni mkeo si mchepuko.

Kiufupi, jipange na tengeneza mpango kazi wa kuzikabili changamoto za familia wewe kama baba na kichwa cha familia.

Mwisho, mpende mke wako kwa gharama yoyote ile, na kubali kumfundisha na kumuelekeza hadi atapokua kama wewe upendavyo.
 
Nashukulu sana kaka kwa ushauri wako mzuri.ubarikiwe sana
 
Similar Discussions

25 Reactions
Reply
Back
Top Bottom