Nimemtolea mahari sasa ananipa shida, najuta!

hayaaa sasaaaa

humu si tunayasema haya kila siku?, sema nn vjna mmezd vbur, kpnd mnachumbiana ukuona shida ama kutafta ushaur wwte kuhusu ndoa?, alafu umri wako bado mdg kwann unajichimbia shimo mapema ambalo kimsingi hutoweza kulitoka?, kuwa na kazi ama kutoa mahali kubwa, hakukupi guaranteed ya kudumu ktk ndoa kipind kirefu

huwa nashangaa hiv mtu umawezaje kutoa mahal zaid ya milion kwa lijitu mlilokutana ukubwan?, si ajabu hata bikra hana, alitolewa na wahuni kwa hongo ya chipi kavu mixer kachumbari ya kabichi na sayona juisi(Tsh 500)

kihele hele kilikuponza mzee baba, acha nkuchane makavu il ujifunze, hata ssi tulipitia haya, lkn tuliepuka, wew umenasa,

uyo mwanamkea kama hawez kufuata amri zako na matakwa yako ama kukudharau, rudisha kwao na akurudishie pesa yako ya mahali na ukaifanye mtaji, ama katoe sadaka kwa mayatima, kulko kuligharamikia jitu lenye meno32 lisilojua samani ya ndoa.

hivi vile viapo vyenu vya dini mnawezaje kuapa ilihali mnajijua tabia zenu si wavumilivu ktk shida na hamna mioyo ya upendo wa kwel.

kaa utulie na ufanye maamuzi magumu, fanya maamuzi ya kiume, wanaume wengi hasa ninyi mnaotoaga mahali za namna hiyo, huwa waoga, huwa mnaendeshwa na ndugu ama mashemeji.

Be gentleman
 
Mimi ni kijana wa miaka 27,nafanya kazi.nimeoa mwanamke ambaye tumedumu uchumba kwa mwaka na nusu. Nimetoa mahali zaidi ya milioni na nusu,amekuja mkoa ninao fanya kazi,lakini vituko anavyonifanyia ni hatari,hadeki,kunipa penzi mpaka ajisikie yeye mwenyewe.hata kama mimi ninanyege ananiyima penzi.pia anadai kurudi kwao mazingira yamemshida,mambo mengi ananifanyia huyu mke wangu,mpaka nakuwa natokwa na machozi maana hata mwezi hajamaliza ananiletea vituko hivi,kinachoniuma pesa niliyomtolea.naombeni ushauri ndugu zangu.nifanyeje mie.kama akirudi kwao naweza kurudishiwa mahali yangu.

Jina lako ni Ishara tosha kabisa kuwa wewe ni mtoto wa Mama. Kunyimwa maku tu muda mfupi ushaanza kulia lia
 
Mimi ni kijana wa miaka 27,nafanya kazi.nimeoa mwanamke ambaye tumedumu uchumba kwa mwaka na nusu. Nimetoa mahali zaidi ya milioni na nusu,amekuja mkoa ninao fanya kazi,lakini vituko anavyonifanyia ni hatari,hadeki,kunipa penzi mpaka ajisikie yeye mwenyewe.hata kama mimi ninanyege ananiyima penzi.pia anadai kurudi kwao mazingira yamemshida,mambo mengi ananifanyia huyu mke wangu,mpaka nakuwa natokwa na machozi maana hata mwezi hajamaliza ananiletea vituko hivi,kinachoniuma pesa niliyomtolea.naombeni ushauri ndugu zangu.nifanyeje mie.kama akirudi kwao naweza kurudishiwa mahali yangu.
Kwanza miaka 27 unakimbilia kuoa? Umekaa uchumba na mwanamke mwaka mmoja na nusu unakimbilia kuoa kweli? HUYO HAFAI KUWA MKE MRUDISHE KWAO HARAKA SANA TENA KESHO ASUBUHI AWE NDANI YA BUS. Unamlilia mwanamke acha wehu ww. PIGA chini achana na 1.5M muache aondoke lazima atajuta baadae.
 
Aisee.pole Sana.

Siku hiz ndoa zinaangaisha Sana it seems.

Malalamishi yamezidi.

Hebu bebebi misalaba yenu basi

Unalia kisa mkeo??? Aisee

Karucee njoo utoe ushauri murua kwa Tony malavi daviiiii

Ameandika, kinachomuuma ni pesa aliyoliyomlipia.

Toa ushauri kaka

Life is not fair tonylove,vilio vimezidi jamani kwani nyie wanaume ndo wenye matatizo ama ni wanawakeView attachment 1969659

Kwani umeshindwa kuchepuka ?

Hukumwomba ushauri bwana Liverpool?

Vijana mkiwa mnaweka madhaifu ya wenza wenu msisahau kuweka na madhaifu yenu.

Kila siku mnalialia tu,sisi mbona tunaishi na wake zetu na tunaishi na changamoto zao hivyo hivyo.

Mwingine tena!!

Kwa hali ilivyo sasa inaonekana jamii zetu kuna sehemu zimekosea/ kuna kitu cha muhim sana imekisahau.

Ndiyo utoe ushauri sasa nasiokuleta mafumbo ya kwenye dela

Mwanamke hata tukosane namna gani asininyime maqqu aaaawwwwwww

saiv nahangaishwa ivi kuipata ...na nikioa iwe ivi ivi ....aàah ww

Noma sana!

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app

Braza acha tu likukute...

Hivi huko kwenye Ndoa HUWA MNAFATA NINI?

1. Kuna kipi ukiwa single unakosa mpaka uamue kuoa?
2. Una hela/uwezo wa kula mayai kila siku, kwanini ufuge kuku?
3. Mnafata nini huko kwenye Ndoa?
4. We kila siku dunia inalalamika na ndoa we ndio unakimbilia..!!

Sikia..

Umeajiriwa; Nenda chuo ONGEZA elimu TAFUTA PESA
Umejiajiri; Tafuta skills wekeza kwenye mambo zako TAFUTA HELA.

THE POINT IS in whatever you do FIND MONEY.

With money life is GOOD.

What is KUOA by the way.

Achane kuoa mpunguze MATATIZO.

*KESHO ATAKUJA MWENGINE HUMU ANALALAMIKA.

#YNWA
 
😂😂😂waelekeze wavulana hao waache kuiga mapenzi ya tamthiliya yaani mtu unatoa milioni moja na nusu halafu demu sio bikra na bado mapaja anabana aisee natamani nimvae kama jini niwafundishe hao matapeli adabu😅
 
Mimi ni kijana wa miaka 27,nafanya kazi.nimeoa mwanamke ambaye tumedumu uchumba kwa mwaka na nusu. Nimetoa mahali zaidi ya milioni na nusu,amekuja mkoa ninao fanya kazi,lakini vituko anavyonifanyia ni hatari,hadeki,kunipa penzi mpaka ajisikie yeye mwenyewe.hata kama mimi ninanyege ananiyima penzi.pia anadai kurudi kwao mazingira yamemshida,mambo mengi ananifanyia huyu mke wangu,mpaka nakuwa natokwa na machozi maana hata mwezi hajamaliza ananiletea vituko hivi,kinachoniuma pesa niliyomtolea.naombeni ushauri ndugu zangu.nifanyeje mie.kama akirudi kwao naweza kurudishiwa mahali yangu.
Nenda mahakamani urudishiwe pesa zako
 
Sasa umeoa au umelipa mahari tu? Ndoa ni mkataba ulioidhinishwa kisheria na kubarikiwa na kiongozi wa dini au mwanasheria na huwa mnakabidhiwa cheti maalum! Je, cheti hiko mnacho?
 
Mimi ni kijana wa miaka 27,nafanya kazi.nimeoa mwanamke ambaye tumedumu uchumba kwa mwaka na nusu. Nimetoa mahali zaidi ya milioni na nusu,amekuja mkoa ninao fanya kazi,lakini vituko anavyonifanyia ni hatari,hadeki,kunipa penzi mpaka ajisikie yeye mwenyewe.hata kama mimi ninanyege ananiyima penzi.pia anadai kurudi kwao mazingira yamemshida,mambo mengi ananifanyia huyu mke wangu,mpaka nakuwa natokwa na machozi maana hata mwezi hajamaliza ananiletea vituko hivi,kinachoniuma pesa niliyomtolea.naombeni ushauri ndugu zangu.nifanyeje mie.kama akirudi kwao naweza kurudishiwa mahali yangu.

Kinachowasumbua hapo ni utoto tu. Yamkini binti ni mdogo kwa umri na kwa kawaida wadada wakiwa kati ya 18 27 wanakuwa pasua kichwa. Wewe utahangaika sana bado ila ukibaki kwenye reli utamuelewa tu mkeo.
 
Mimi ni kijana wa miaka 27,nafanya kazi.nimeoa mwanamke ambaye tumedumu uchumba kwa mwaka na nusu. Nimetoa mahali zaidi ya milioni na nusu,amekuja mkoa ninao fanya kazi,lakini vituko anavyonifanyia ni hatari,hadeki,kunipa penzi mpaka ajisikie yeye mwenyewe.hata kama mimi ninanyege ananiyima penzi.pia anadai kurudi kwao mazingira yamemshida,mambo mengi ananifanyia huyu mke wangu,mpaka nakuwa natokwa na machozi maana hata mwezi hajamaliza ananiletea vituko hivi,kinachoniuma pesa niliyomtolea.naombeni ushauri ndugu zangu.nifanyeje mie.kama akirudi kwao naweza kurudishiwa mahali yangu.
Mletee mwanamke mwingine hapo nyumbani, akileta kelele mwambie aondoke tu kwani kuna msaidizi wake kishakuja tayari. Anakunyima papuchi wakati zimejaa kibao mjini na zinataka kuliwa tu.
 
Ndiyo utoe ushauri sasa nasiokuleta mafumbo ya kwenye dela
Kiseme mkuu
Nahisi tumejikita zaidi kutaka kumuinua mtoto wa kike/mwanamke tukasahau kuwa mtoto wa kiume/mwanaume nae anatakiwa kuinuliwa vile vile. Kwa jinsi hali ilivyo tusiporudi nyuma na kuanza kumuandaa huyu kijana wa kiume mapema kama babu zetu walivyo andaliwa amini ndoa nyingi hazitadumu ama zitakuwa sawa na koo za fisi(jike ndio mkuu wa koo) mwanaume anaenda kupoteza nafas yake kama mme na baba ndani ya familia.
 
Hivi huko kwenye Ndoa HUWA MNAFATA NINI?
Ndoa ni kipimo cha utimamu wa akili.

Kwenye ndoa tunafata utulivu,na kuchunga nasaba.

Vijana wengi wanafeli kwenye ndoa sababu wanajichukulia wao na wanawake wako sawa hili tatizo kubwa sana.

Kingine vijana vijana wengi wakike kwa wakiume hawajui kuchagua wenza hili nalo tatizo kubwa sana.

1. Kuna kipi ukiwa single unakosa mpaka uamue kuoa?
Ukiwa single unakosa vingi sana. Ukiwa single unatengana na asili na uzani unathibitisha ya kuwa si timamu wa akili.
2. Una hela/uwezo wa kula mayai kila siku, kwanini ufuge kuku?
Huu ni wendawazimu mwingine,ambao hawayasemi haya isipokuwa wajinga wapumbavu. Zinaa ni mbaya kiakili na kidini. Yaani ni uchafu.
3. Mnafata nini huko kwenye Ndoa?
Unarudia swali ambalo limejibiwa tayari.
4. We kila siku dunia inalalamika na ndoa we ndio unakimbilia..!!
Hii siyo nikikuomba ushahidi wa dunia gani inalalamika hutaweza.

Ukichunguza wengi wanao lalamika kuhusu ndoa na si wote,wanaangukia katika sababu zifuatazo.

1. Walikosea kuchagua wenza.
2. Wao wenyewe wana matatizo yaani hawajui kuishi na wenza.
3. Malipo ya machumo yao
4. Hawajui ndoa ni nini.

Sisi tumeoa mbona hatulalamiki kuhusu ndoa zetu na tuko wengi sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom