The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,397
- 9,263
Amani iwe kwenu,
Binafsi isitafsiliwe kama chuki ila kiukweli nimetokea kutopendezwa kabisa na rangi ya KIJANI. Kwangu vaa nguo ya kijani hata salamu yangu sikupi.
Nipo Kijijini huku, na kwa maeneo haya pekee shambani kwangu nina kisima cha maji na ndio karibu kijiji kizima wanategemea hapa. Wabunge wa CCM wanapita wanahahidi wataleta maji wanapita wanaondoka.
Sasa jana narudi kutoka mjini namkuta baba mmoja ambaye sikuwahi kumuona pale amevaa kapelo na shati kuukuu la CCM anachota maji yangu, nilichofanya nikamuita mama watoto nilitee panga hapo ndipo ugonvi ulipoanza na yule bwana, kwanini unachota maji yangu?... hana jibu nikamuelesha lakini nikaja kugundua ni mfia bendera ..timua toka nyumbani kwangu na marufuku mwana CCM kuja kuchota maji hapa.
Napata shida sana watu wanaoshabikia CCM, anaimba #HAPA KAZI TU na wakati hata maji tu kwake ni tatizo.
CCM IMEWEKEZA KWENYE UMASKINI WA WATANZANIA