Nimemtia mimba

Nimemtia mimba

Pole sana,lakini sio vizuri hata kidogo kuwaficha wazazi wako na ukianza na hili kuficha basi ipo siku utaficha pia kua sio wazazi wako,kama ni mwanamme na unahakika mimba ni yako usikimbie majukumu yako,kama ulivyokua unamvua chupi
bila kinga basi matunda yake pia yafurahie...
 
Ila huyu dogo namkumbuka, aliwahi kuuliza.mbona hakupata ugumu kumwingia gf wakati huyo gf alimwambia ni bikira, watu wakamwambia umri wako ni mdogo kwa hayo mambo, soma kwanza, hakusikiliza ya wakubwa. Sasa kamtia mimba, sijui ni the same gf au mwingine but ol in ol aliambiwa ajikite kwenye masomo kwanza.
 
NINA SWALI KWAKO WEWE MTIA MIMBA,,

WAKATI UNAMTIA MIMBA ULIJISKIA UTAMU AU HUKUJISKIA UTAMU??

KAMA ULIJISKIA UTAMU USHAURI WANGU NI HUU,,WEWE NI KIDUME CHA SHOKA KIONGOZI,,MTIE MIMBA NYINGINE,THEN ACHA KABISA NA CHUO CHENYEWE,,KUSOMA BONGO?WANGAPI WAMESOMA HAWANA AJIRA??

THEN UKISHAACHA CHUO,JITIE ULEMAVU WA MAKUSUDI UPITE MTAANI UKIWA KAMA OMBA OMBA


WATOTO PIA NI MTAJI ATII..!!

PLEASE TAKE THIS PIECE OF AN ADVICE..

:smile: :smile:
 
NINA SWALI KWAKO WEWE MTIA MIMBA,,

WAKATI UNAMTIA MIMBA ULIJISKIA UTAMU AU HUKUJISKIA UTAMU??

KAMA ULIJISKIA UTAMU USHAURI WANGU NI HUU,,WEWE NI KIDUME CHA SHOKA KIONGOZI,,MTIE MIMBA NYINGINE,THEN ACHA KABISA NA CHUO CHENYEWE,,KUSOMA BONGO?WANGAPI WAMESOMA HAWANA AJIRA??

THEN UKISHAACHA CHUO,JITIE ULEMAVU WA MAKUSUDI UPITE MTAANI UKIWA KAMA OMBA OMBA


WATOTO PIA NI MTAJI ATII..!!

PLEASE TAKE THIS PIECE OF AN ADVICE..

:smile: :smile:

Dont try this at home coz aliyepost anasadikika kuwa ana ugonjwa wa akili na uchunguzi unaendelea kujua chanzo cha ugonjwa wake.
 
Mh!mkuu kwa hiyo ulikuwa hutumiagi kondomu?Mkuu ni vema ukapime na kipimo kikubwa inawezekana umefanikiwa kumtia mimba mtoto wa watu na yeye amekupa kubwa ya mwaka (Ukimwi) ukafie mbali!wewe ni mzembe sana!!
 
Baba mtoto wa 'nje ya ndoa'

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kwa hiyo uliuza mechi?????Yaani intellectual,pamoja na matangazo yooooote haya....hutaki kutumia condom??PUMBAV......
 
Pole rafiki! Ushauri ndo huu; toa taarifa kwa wazazi wako hata kama unajua utakuwa umewasha moto, watakulaumu sana bt watatafakari pia namna ya kukusaidia. ujue binti kwao atalaumiwa sanaaaaaa, bt inategemea wazazi wake understanding yao, ila ujue sasa umekuwa mtu mzima, kazi kubwa ipo huko mbele, tunza sana hivyo vibumu havitatosha kabisa.Uzazi siyo mchezo, mmebipu kumbe ikapokelewa! MSITOE MIMBA PLEASE, DONT PLEASE!! HATA KAMA BINTI ATAACHA CHUO.
 
Kidini ni Kosa Kisheria, 2nakuCount ww na Mwanamke ambaye umempa MIMBA kwamba KIUMBE kitakachozaliwa ni MTOTO WA ZINAA , Jambo unalotaka kufanya Ni Jema , Fanya Ivyo Na ikiwezekana Umuoe huyo MJAMZITO haraka iwezekanavyo ili kuweza kumnusuru MTOTO MTARAJIWA asiwe wa ZINAA. ZINGATIA
 
Dont try this at home coz aliyepost anasadikika kuwa ana ugonjwa wa akili na uchunguzi unaendelea kujua chanzo cha ugonjwa wake.



ha ha ha ha..!!

TUSUBIRI HIYO TUME YA UCHUNGUZI TUONE MAJIBU YAKE
THE MAN HE MUST BE SO SO CRAIZY..
 
Nimemtia mimba.Nataka nikatoe posa bila wazaz wangu kujua maana hawatanielewa niko chuo mwaka wa kwanza.naomba msaada nitumie mbinu gani?

alaaa ndo mwaka wa kwanza enh?mpaka umalize utakua umewatia wangapi?na utatoa posa kwa wangapi na utaoa wangapi?pole!:confused2:
 
Dogo usipime maisha ya chuo na majukumu! Unaweza Disco hivihiv tena hiyohiyo first year lakufanya washirikishe wazazi wako maskini km ndo umetoka zile familia zetu za mtoto wa mkulima utawaumiza sana!!kwenda kutoa posa bila wazaz wako unajitafutia laana ktk maisha yako ushalikoroga hilo linywe,usiogope kuwambia wazaz wako wakienda kwa wazaz wa bint halitaharibika neno kwan utu uzima dawa na solution nzuri itapatikana.
 
We nawe.. Nani alie kwambia jukumu la kuzuia mimba zisizohitajika ni la mwanamke peke yake??? Unanchekeshaaaa,, (FF)

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

jukumu ni la mwanamke...mie nataka kukuuliza....hivi mie mwanaume nikipiga bao mia na wewe umeamua kuwa mis sitaki kuza sii utafanya kila uwezalo usipate mimba...yaani zipo njia nyingi za kuzia mimba like crazy once wapenzi wameamua kugegedana pekupeku.
 
Huyo mwanamke uliempa mimba nae yupo chuo? alafu acha ulimbukeni wa mapenzi ama umetokea seminary ndo umekuja kupata uhuru wa wadada ukiwa chuo. Mdogo wangu hii kitu tamu sana na ukutumia condom ndo maana ukampa mimba.

Umekubali matokeo tayari ila nakushauri washirikishe wazazi wako na usiogope kuwa hawatakuelewa, cha msingi anza mwambie bi mkubwa alafu mshua badae.

Hongera kwa kuonesha uanaume wako.
 
Nashukuru kwa mawazo yenu.asante pia kwa walionitukana,nipo ktk kipindi kigumu sana! Kwa waliouliza kuhusu dem,sio mwanafunzi,nampenda kwa dhati.
 
I don think. Nadhani itakua 07.07.1992 this age ndo wapo first year

karembo umechemsha meeen
huyu kazaliwa huo mwaka ila mtihani wa darasa la 4 alirudia
form 2 hakupita mpaka akahama shule na kuhonga st marys
huko chuo kwenyewe anasoma certificate
upo??
Mitoto mingine bana hasara tupu
eti ''nimemtia mimba'' hata kuandika kistaarabu hajui
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo uliuza mechi?????Yaani intellectual,pamoja na matangazo yooooote haya....hutaki kutumia condom??PUMBAV......

nyie mnatumiaga condom miaka yote??
Kwa utaalam wangu watz sanasana wanatumia condom mara 4 za mwanzo
ambao wapo makini hawamalizi miezi 6 kutumia condom kama wanauhusiano thabiti
ila kama kugongana kwa msimu ndo wanajitahidi
huyu dogo inaelekea alipata pachu ya bure akaigegeda akanogewa utakuta hata huyo mtiwaji mimba ni mwanafunzi wa sekondari
mhhhh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom