Nimemtia mimba

kijana nendeni tu mkjajisalimishe na muwakutanishe wazaz wa pande zote mbili, leta after xul utamchukua muishi wote
 

ni uninga kwa sababu even tho kuyltopafa mimba ni jukuma la wote wawili inapofika wakati kuwa mmekubaliana kufanya bila kinda ile responsibility ina transfer kwa mwanamke na pili sie kufanya sex bila kinga haimaanishi kiwa nataka tuzae.
lastly ni wanwake wenyewe ambao wanakuwa mstari wa kwanza kusema oh sie we got to much to lose kama ile mimba stds n.k. ndio maana hatuwezi mpa bupa kila mwanaume...sasa y doesng that rhinking apply once u have decided kusex na njemba bila condom? y then do ladies fail to say i got alot ro lose nikishika mimba?
 

kweli upeo wako wa kufikiri ni mdogo umekuwa kama mbayu wayu
 
Ukikua utaelewa, make wewe bado mtoto, umezaliwa juzi juzi tu tarehe 07/07/1989!
Nimemtia mimba.Nataka nikatoe posa bila wazaz wangu kujua maana hawatanielewa niko chuo mwaka wa kwanza.naomba msaada nitumie mbinu gani?
 
Nimemtia mimba.Nataka nikatoe posa bila wazaz wangu kujua maana hawatanielewa niko chuo mwaka wa kwanza.naomba msaada nitumie mbinu gani?

Dogo! hapo umeshaharibu mzee, sasa kwa usalama wako hapo.....japokuwa sijui utaanzaje kusema huko nyumbani wakuelewe, ila no way out bora uwaambie tu wazazi mapema wajue wanajipangaje juu ya hilo, na hapo ukicheza tu shule huimalizi hiyo dogo. Sasa ili uishi kwa amani na kitabu kiende vizuri ni bora ulifikishe hili swala kwa wazazi bana..................japokuwa wazazi wako unawajua mwenyewe walivyo ila nakushauri usiogope.

Kwanza wewe bado bwana mdogo sana, najua wazazi watakusema sana, ndugu watakusemasana na patakuwa hapatoshi maana lazima familia ikukalishe kikao, lakini ndio imeshatokea mzee. Bado wazazi wanajukumu la kukulea wewe, hawawezi kukufukuza wala kukuuwa bwana, watakusema sana lakini mwishowe watakubaliana tu na hali halisi.......kumbuka wazazi wanakupenda sana kijana wao kuliko unavyodhani dogo na kaa ukijua hakuna watu wengine wanaokupenda kuliko wao hapa duniani, so waambie tu.

Ila naomba nikushauri tena, usije ukathubutu kupeleka posa kabla ya kuwataarifu wazazi wako kwanza, wewe bado mdogo sana na haya mambo ya posa na ndoa ninahakika bado huyajui, na ukisema utumie watu wa pembeni wajifanye kama wazazi wako basi kaa ukijua kabisa siku likitoke la kutokea watakukana hao, halafu uanze kulia na kusaga meno. Kwa hiyo dogo, wazazi ni watu muhimu sana kwako. Waambie tu, then wao ndio watajua nini cha kufanya, hujaua mtu bwana usiogope.

Ila sio siri, pole sana mzee, nakuonea huruma sana dogo kwa hayo yaliyokukuta.......dah!! very sorry......Ila ndio dunia hiyo bana......

ok yangu ni hayo tu bwana.....
 
Reactions: Mto
Uko mwaka wa kwanza chuo unataka kuoa. We ndio dunya kweli. Utaolea mji. Muoe umlete mtaani watu wenye hela tukusaidie kutunza na kumpakata. Tunaweza kukutunza na wewe na mwanao pia mpaka umalize chuo.
 
wewe acha ujinga...ukatoe posa kwa ujinga wake mwanamke kushika mimba!!! kama hukumwambia kuwa unataka kuzaa nae basi ni kosa la demu na wala huna shitaka lolote.

wewe jamani akili yako inakutosha mwenyewe. Huyu akipata hiv utamuambia pia ni ujinga wa mwanamke eeh, manake hakumuambia anataka hiv.
 
Nimemtia mimba.Nataka nikatoe posa bila wazaz wangu kujua maana hawatanielewa niko chuo mwaka wa kwanza.naomba msaada nitumie mbinu gani?

yote 9 bwana mdogo,huyo mwanamke ulikua na malengo ya kumuoa?usijekuta ulikua unamchukulia kama wa party time halafu kashika mimba ndio umeamua kwenda kwa wakwe kutoa posa,nenda katoe posa endapo tu ulikua na malengo na huyo mwanamke na sio kwasababu kashika mimba
 
wewe acha ujinga...ukatoe posa kwa ujinga wake mwanamke kushika mimba!!! kama hukumwambia kuwa unataka kuzaa nae basi ni kosa la demu na wala huna shitaka lolote.

We nawe.. Nani alie kwambia jukumu la kuzuia mimba zisizohitajika ni la mwanamke peke yake??? Unanchekeshaaaa,, (FF)

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kupata mimba kwa mabinti ni kiherehere chao!(JK 2011)
 
hongera kwa kujaza hicho kibinti ni bora uwambie wazazi wako kwanza
 
Nimemtia mimba.Nataka nikatoe posa bila wazaz wangu kujua maana hawatanielewa niko chuo mwaka wa kwanza.naomba msaada nitumie mbinu gani?


Ujinga mtupu,
Ulitaka umtie nini basi kama sio MIMBA ilhali hutumii kondom wala spermicides,
Unataka tukupe ushauri wa maana.
Katoe hiyo MIMBA fasta.


Bazazi!
​
 
Jamani huyu mwenzetu anahitaji ashauriwe na si kulaumiwa. Kosa ametenda kwa kuwa amekiri mwenyewe kuwa ndiye aliyempa mimba huyo binti, basi tumshauri kwa nia ya kumjenga yeye pamoja na mwenzie na si kukejeli/kumdhihaki yeye na huyo binti maana inavyoonekana ni kama wamechanganyikiwa au wameshindwa kufikiria mbali zaidi. Nafurahi kuwa hawkukimbilia kuitoa hiyo mimba.

Anachotaka kukifanya kwenda kutoa posa bila kuwataarifu/kuwashirikisha wazazi wake si sahihi. Kama ameamua kwenda kutoa posa kwa wazazi wa binti basi awashirikishe wazazi wa pande zote. Hawezi kuwaficha wazazi wake katika hili. Kwakuwa amesema yeye ni mwanafunzi, tena wa mwaka wa kwanza (hakusema kama huyo binti naye ni mwanafunzi au la) bila shaka atahitaji msaada wa wazazi wa pande zote ili kumlea huyo binti na hatimaye mtoto pindi atakapozaliwa. Kuwatenga wazazi wake kutamsumbua sana huko baadaye, namshauri asifanye hivyo. Ajipange vizuri akuwaambie wazazi wake ukweli. Huu ni wakati mzuri wa kuwashirikisha wazazi wa pande zote mbili. Ni muhimu sana akawashirikisha wazazi wake kwa kuwa huyo mke wake anayemtarajia atakuwa ni sehemu ya familia ya upande wa huyo mwanamume.
 
Mkuu unafikiri kwenda kwa wazazi wa binti ni mchezo eeh? unafikiri ni dukani unaenda kusema kifaa chenu kimefit??? Tafuta mzee mwenye hekima anayefahamiana na wazazi wako, mweleze ili ukufikishie jilo kwa wazazi wako. Najua mtapata ufumbuzi. Kumtunza mtu mwenye meno 32 si rahisi na hilo bum lako mkuu.
 
Jamani huyu mwenzetu anahitaji ashauriwe na si kulaumiwa. Kosa ametenda kwa kuwa amekiri mwenyewe kuwa ndiye aliyempa mimba huyo binti, basi tumshauri kwa nia ya kumjenga yeye pamoja na mwenzie na si kukejeli/kumdhihaki yeye na huyo binti maana inavyoonekana ni kama wamechanganyikiwa au wameshindwa kufikiria mbali zaidi. Nafurahi kuwa hawkukimbilia kuitoa hiyo mimba.

Anachotaka kukifanya kwenda kutoa posa bila kuwataarifu/kuwashirikisha wazazi wake si sahihi. Kama ameamua kwenda kutoa posa kwa wazazi wa binti basi awashirikishe wazazi wa pande zote. Hawezi kuwaficha wazazi wake katika hili. Kwakuwa amesema yeye ni mwanafunzi, tena wa mwaka wa kwanza (hakusema kama huyo binti naye ni mwanafunzi au la) bila shaka atahitaji msaada wa wazazi wa pande zote ili kumlea huyo binti na hatimaye mtoto pindi atakapozaliwa. Kuwatenga wazazi wake kutamsumbua sana huko baadaye, namshauri asifanye hivyo. Ajipange vizuri akuwaambie wazazi wake ukweli. Huu ni wakati mzuri wa kuwashirikisha wazazi wa pande zote mbili. Ni muhimu sana akawashirikisha wazazi wake kwa kuwa huyo mke wake anayemtarajia atakuwa ni sehemu ya familia ya upande wa huyo mwanamume.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…