Kumbe ni ndogo namna hyo. Wenzetu walipitisha utoaji mimba zisizotakiwa au kama vipi achana na dada mtu huyo dogoNina mpenzi wangu ambaye tumepanga kuoana apo badaye najulikana kwao na yeye anajulikana kwetu. Sasa huyu mpenzi wangu ana mdogo wake ambaye tulikuwa tunazoeana saana, na yeye ndo mtu ambaye nina ukaribu naye saana kuliko dada yake.
Sasa kwa bahati mbaya shetani alitupitia. Tukafanya vya kufanya. Madhara yake ndo haya ambayo yametokea
toka last week, mtoto wakike aliniambia haoni siku zake, na kwa bahati mbaya mwezi umeisha.
Nataka niulize
Kuna miezi ambayo wanawake wanapitaga tu bila kwenda kwenye siku zao? Maana nahisi kuchanganikiwa kinoma sijui nitaweka wapi sura yangu mimi!
Uncle wako mtu mbade sana yani, kaopoa mdogo mtu kamtosa dadaake. Hii imekaaje kitaalamu? Je, ingalikuwa wewe ndiye dada uhusiano na mdogo wako ungekuaje?Ila wanaume aise..Ndio maana wanawake wengine wanaamua kuwa zao lesbians.
Anyway, kuna scenario kama hizo wanawake kuchelewa kuona siku zao..But kuliko kuendelea kusubiri hizo siki kwanini msipime mimba kwanza mjue mbivu na mbichi..
Issue kama yako ilimtokea my uncle..So akaamua kumuoa mdgo mtu aliyemtia mimba ila dadake aliumia sana.
jina lako linasadifu ulichokiandikaNina mpenzi wangu ambaye tumepanga kuoana apo badaye najulikana kwao na yeye anajulikana kwetu. Sasa huyu mpenzi wangu ana mdogo wake ambaye tulikuwa tunazoeana saana, na yeye ndo mtu ambaye nina ukaribu naye saana kuliko dada yake.
Sasa kwa bahati mbaya shetani alitupitia. Tukafanya vya kufanya. Madhara yake ndo haya ambayo yametokea
toka last week, mtoto wakike aliniambia haoni siku zake, na kwa bahati mbaya mwezi umeisha.
Nataka niulize
Kuna miezi ambayo wanawake wanapitaga tu bila kwenda kwenye siku zao? Maana nahisi kuchanganikiwa kinoma sijui nitaweka wapi sura yangu mimi!
Je unaweza kuthibitisha kuwa kweli shetani aliwapitia?, maana unatengeneza kosa lingine la kumsingizia shetani wakati hukuwa maeneo hayo kabisa siku hiyo. Kuhusu mimba nenda au aende duka la dawa akanunue kipimo cha kupimia mimba kisha apime. Huuzwa bei cheee kabisa ya kishetaniNina mpenzi wangu ambaye tumepanga kuoana apo badaye najulikana kwao na yeye anajulikana kwetu. Sasa huyu mpenzi wangu ana mdogo wake ambaye tulikuwa tunazoeana saana, na yeye ndo mtu ambaye nina ukaribu naye saana kuliko dada yake.
Sasa kwa bahati mbaya shetani alitupitia. Tukafanya vya kufanya. Madhara yake ndo haya ambayo yametokea
toka last week, mtoto wakike aliniambia haoni siku zake, na kwa bahati mbaya mwezi umeisha.
Nataka niulize
Kuna miezi ambayo wanawake wanapitaga tu bila kwenda kwenye siku zao? Maana nahisi kuchanganikiwa kinoma sijui nitaweka wapi sura yangu mimi!
"Ila wanaume aisee.."Ila wanaume aise..Ndio maana wanawake wengine wanaamua kuwa zao lesbians.
Anyway, kuna scenario kama hizo wanawake kuchelewa kuona siku zao..But kuliko kuendelea kusubiri hizo siki kwanini msipime mimba kwanza mjue mbivu na mbichi..
Issue kama yako ilimtokea my uncle..So akaamua kumuoa mdgo mtu aliyemtia mimba ila dadake aliumia sana.
Undugu uliendelea kweli?Ila wanaume aise..Ndio maana wanawake wengine wanaamua kuwa zao lesbians.
Anyway, kuna scenario kama hizo wanawake kuchelewa kuona siku zao..But kuliko kuendelea kusubiri hizo siki kwanini msipime mimba kwanza mjue mbivu na mbichi..
Issue kama yako ilimtokea my uncle..So akaamua kumuoa mdgo mtu aliyemtia mimba ila dadake aliumia sana.
AhhaahahahhaKuna miezi 9 mpaka 10 wanawake hawaoni siju zao....