Nimemtambulisha mchumba wangu kalazwa

Nimemtambulisha mchumba wangu kalazwa

Miaka ile ya tisini baba yako alipokuwa jambazi walivamia nyumbani kwao na mchumba wako,wakaua wazazi wake wote wawili yeye alikiwa na mtoto mdogo alijificha chini ya kochi, lkn alioana sura za wauaji wote.Alipoona sura ya baba yako lo..... muuaji wa wazazi wake ndiyo babaa mkwe mtarajiwa....Tufwileeeee.



jamii forum bana!!!! mpaka raha
 
Pole sana kwa changamoto uliyo nayo juu ya mapenzi.Nami naungana na wachangiaji wengine kuwa hatima yako ipo mikononi mwako.Ukweli wa chanzo cha kilio chake anao mwenyewe.Mtoto wa kiume kaza buti kwa kumtafuta na kuuliza maswali magumu ambayo yatamfanya awajibike kusema ukweli.Homa gani inaleta kilio cha muda mrefu? MAWAZO YANAMTESA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom