mwenzako anataka kuolewa, sasa mdingi atamwoa?Duh, utoto tu
Hata kama nimekula dingi ako ndo nilie? Nalilia nini?
Si nakumwaga tu naendelea na mdingi.
jamani nimemtambulisha mchumba wangu nyumbani Mambo yalikwenda vinzuri lakin wakati msindikiza alikua analia nikajua furaha wala sikufatilia baada ya mda nikapigiwa sim amelazwa nikaenda kumuona anaendelea kulia namuliza hasemi nn tatizo,hospital wamemwambia Anahoma.
au yule ni kaka yake wakuzaliwa kesha kula bujugwa ya dada yakeNina wasiwasi huyo mdada amegundua huenda alishamtukanaga mama mkwe, au labda alishakuwa na mahusiano na mmoja wa makaka wa jamaa!
Sasa presha juu!...huh!
Au ni small house ya dingi!
Mmeenda kumrushia majini dada wa watu huko kwenu. Na ole wako afe...jamani nimemtambulisha mchumba wangu nyumbani Mambo yalikwenda vinzuri lakin wakati msindikiza alikua analia nikajua furaha wala sikufatilia baada ya mda nikapigiwa sim amelazwa nikaenda kumuona anaendelea kulia namuliza hasemi nn tatizo,hospital wamemwambia Anahoma.
hahahahahaha kazi kweli kweli. Hapo itabidi wampeleke kwa mzee wa misukule akaondolewe hilo pepoMmeenda kumrushia majini dada wa watu huko kwenu. Na ole wako afe...
Mabinti wa leo wana kazi sana jamanimwenzako anataka kuolewa, sasa mdingi atamwoa?