Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 80,914
- 93,671
Ni mnafiki tu huy mzee hana lolote, watu wanatesa na kuonewa yupo kimya
Mtawala katili kama huyu hawezi sikiliza kitu chochoteUmefanya vizuri kuyaweka kwenye mtiririko wa orodha.
2. "Tunataka Katiba Mpya" itakayowezesha kila mtu kuwajibishwa kwa mujibu wa katiba hiyo. Hii ya sasa kuna watu wapo juu yake, hawawezi kuwajibishwa kutokana na katiba hii.
3. Tanzania sasa ina watu wanafiki kila sehemu, na hii ni kutokana na siasa za kuleana zilizopo ndani ya CCM. Watu wanaogopa kuwa wakweli, kwa sababu maslahi yao yote wamewekeza kwenye chama. Ondoa chama hicho, watu wataanza kuwa huru na kuwa wakweli.
4. Vijana? Watakuwaje majasiri huku wakijua maslahi yao yapo ndani ya chama. Watapozwa pozwa na kusahau kwamba nchi watakayoirithi ni mzoga.
5. Viongozi wanaotishia watu, wanajuwa vyombo vinavyotakiwa kulinda haki za wananchi hao vimo mifukoni mwao. Bila kuwa na uhakika huo, kammwe hawawezi kumtishia yeyote.
6. Vyombo vya habari? Oooh, nchi hii ina vyombo vya habari tena? Kila mtu anatafuta upendeleo wa kuteuliwa au kufanikishwa katika shughuli zake na hao hao wanaosababisha matatizo yote ya nchi hii, CCM.
7. Ni wapi waliowekwa madarakani. Wote wamejiweka madarakani kwa nguvu.
Mzee Butiku na Mzee Warioba wamebaki kuwa sauti za nyikani tu, hawasikilizwi na hao watawala wala hawawanyimi usingizi. Wamekuwa ni watu wa kupuuzwa tu!
Hiyo point ya 7 sikubaliani nayo. Hivi kweli uchaguzi iliyofanywa na Tume ya Mahela kwa maelekezo toka juu.... Huyu mzee bado anataka kutuaminisha kuwa ni sisi ndiyo tuliowaweka madarakani....!! Seriously....!!1. Tanzania bado ina Viongozi Waonevu na bahati mbaya tena wengine bado tu wanarandaranda Mitaani na sijui kwanini hawagusiki na wanaogopwa na wenye Kuwawajibisha.
2. Tunataka Katiba Mpya je, yale yaliyopo Katiba iliyoko tumeyatekeleza hata kwa 75%?
3. Taifa letu sasa lina Watu Wanafiki ambao wakiwa Vichochoroni wananung'unika ila wakiwa mbele ya Viongozi wao wananyamaza.
4. Vijana wa Leo nchini Tanzania ni Waoga watupu.
5. Viongozi wanaotishia Watu wanaowakosoa ni Wasaliti wa Katiba yetu na kamwe hawatufai.
6. Vyombo vya Habari vya Tanzania siku hizi haviibui Mambo ya Kuwaamsha Wananchi kuhusu nchi yao, bali vinaibuliwa Mambo na Watawala kwa yale wayatakayo Wao.
7. Tujitahidi sana Kuwaheshimu Viongozi ( Watawala ) wetu hata kama kuna wanaotukwaza kwani ni Sisi hawa hawa ndiyo tumewaweka Madarakani walipo na kama tukitaka Kuwakosoa basi tuwakosoe kwa Staha na huu ndiyo umekuwa ( uwe ) Ustaarabu wa Watanzania.
Ninakuombea Uhai mrefu Mzee Butiku.
At least yeye ana sababu ya kuogopa baada ya kunusulika na kifo. Pia anachoogopa yeye ni kifo ila haogopi kusema...... Ila wengi wetu kusema tu tunaogopa!!Hata Lisu ni muog tu ndiyo maana alijificha kwenye ubalozi na kisha kukimbiza ubawa wake Ubelgiji.
'Genius' kama Wewe Mkuu na Rafiki yangu mkubwa hapa JamiiForums unapata wapi muda wa kuppteza Kumjibu huyo 'Certified Fool' aitwae KING KIGODA?Umezuiwa kuanzisha Uzi unaomhusu Slaa? Yeye kapenda maelezo ya Butiku na ana sababu ambazo Wenye busara ndani ya JF wanajua Kwa nini!! Wewe kama unaona aliyoongea Slaa yana uzito anzisha Uzi wako watu wachangie.
Ujamaa/Socialism upo wa aina nyingi sana hapa duniani.Mbona watanzania wote wanajua kuwa Tanzania miaka 60 bado ni maskini kwa sababu ya ufisadi na ubadhirifu Mali ya umma?
Maendeleo yanaletwa na Matumizi Bora ya rasilimali za nchi, Kodi ya Nchi, uzalendo, utawala Bora na haki za binadamu ambazo zinawezekana ki rahisi Sana ktk Taifa ambalo watu wameamua kuishi kijamaa!
Ujamaa ni nguzo halisi ya maendeleo!
CCM inajinasibu kuwa chama ni Cha kijamaa, na serikali ni ya kijamaa lakini uhalisia ni kwamba Tanzania hatujawahi kuwa wajamaa
Taifa la kijamaa halina uhujumu uchumi, kubambikiana kesi, kunyanyasa Raia, hakuna rushwa wala wizi wa kura, kukanyaga Katiba, hakuna muungano wa serikali mbili Bali serikali moja, hakuna vyama vingi vya siasa, hakuna kikosi Cha wasio julikana, hakuna mifumuko ya Bei holela n.k
Munaotukana ujamaa, hamuujui ujamaa! Tanzania hatujawahi kuishi ujamaa,
Wanadamu Wana mioyo ya ubinafsi, hawatakuja kuishi ktk ujamaa!
Ujamaa utabaki kwenye serikali ya mbinguni tu
Na Mimi nimo mkuu 😄Na Wewe upo ndani yake au umejitoa?
Mzee Butiku naye mwoga tu. Sasa ameshindwa nn kutaja tu kuwa ni MAKONDA?
Kwa hili mzee Butiku anazeeka vibaya.
Butiku hawezi kutuambia kuhusu haki hasa baada ya kuwadhurumu watoto wa Mwalimu wakati baba yao akiwa hai na kuwafanya wawe hivyo walivyo sasa.1. Tanzania bado ina Viongozi Waonevu na bahati mbaya tena wengine bado tu wanarandaranda Mitaani na sijui kwanini hawagusiki na wanaogopwa na wenye Kuwawajibisha.
2. Tunataka Katiba Mpya je, yale yaliyopo Katiba iliyoko tumeyatekeleza hata kwa 75%?
3. Taifa letu sasa lina Watu Wanafiki ambao wakiwa Vichochoroni wananung'unika ila wakiwa mbele ya Viongozi wao wananyamaza.
4. Vijana wa Leo nchini Tanzania ni Waoga watupu.
5. Viongozi wanaotishia Watu wanaowakosoa ni Wasaliti wa Katiba yetu na kamwe hawatufai.
6. Vyombo vya Habari vya Tanzania siku hizi haviibui Mambo ya Kuwaamsha Wananchi kuhusu nchi yao, bali vinaibuliwa Mambo na Watawala kwa yale wayatakayo Wao.
7. Tujitahidi sana Kuwaheshimu Viongozi ( Watawala ) wetu hata kama kuna wanaotukwaza kwani ni Sisi hawa hawa ndiyo tumewaweka Madarakani walipo na kama tukitaka Kuwakosoa basi tuwakosoe kwa Staha na huu ndiyo umekuwa ( uwe ) Ustaarabu wa Watanzania.
Ninakuombea Uhai mrefu Mzee Butiku.
Ni kipindi gani vijana hawakua waoga? Na walileta mabadiliko gani??4. Vijana wa Leo nchini Tanzania ni Waoga watupu.
Asinge mtaja basi kwa chochote humu!.Umezuiwa kuanzisha Uzi unaomhusu Slaa? Yeye kapenda maelezo ya Butiku na ana sababu ambazo Wenye busara ndani ya JF wanajua Kwa nini!! Wewe kama unaona aliyoongea Slaa yana uzito anzisha Uzi wako watu wachangie.
Popoma mnafiki slaa voice.'Genius' kama Wewe Mkuu na Rafiki yangu mkubwa hapa JamiiForums unapata wapi muda wa kuppteza Kumjibu huyo 'Certified Fool' aitwae KING KIGODA?
Ukiona GENTAMYCINE namnyamazia Mtu ambaye ama amenikwaza au amenichokoza hapa JamiiForums jua ya kwamba nakuwa 'nimeshamdharau' kwa Kiwango cha Kumfananisha na Kinyesi cha Uharo na Kinachonuka kwa Kutukuka.
Hata hivyo Heko tu kwa Kumpa makavu.
Ulimtishia kumpiga Risasi mara ya picha. Binadamu wakamtonyaHata Lisu ni muog tu ndiyo maana alijificha kwenye ubalozi na kisha kukimbiza ubawa wake Ubelgiji.
Jiheshimu naamini unafamilia muheshimu lisu SanaHata Lisu ni muog tu ndiyo maana alijificha kwenye ubalozi na kisha kukimbiza ubawa wake Ubelgiji.
Umendika nilichotaka kiqndika. Wakati wanaosema wanaminywa kusema. Butiku anawalaumu hao hao kuwa ni waoga.Huyu Butiku angekuwa na busara angesikika na kuonya wakati JIWE anakiuka katiba kwa maanuzi yake yaliyowakandamiza wananchi.
Enzi yake Jiwe alijitahidi sana kuonekana kuwa anafuata nyayo za Mwalimu kumbe alikuwa chui tu aliyevaa ngozi ya kondoo na Watu kama Butiku wakamuamini Kuwa alikuwa anafuata nyayo za Mwalimu hasa pale alipolazimisha kuhamia DODOMA hata bila matayarisho!! Kutumika Jina la mjomba wake kukamfunga mdomo!
Je, Butiku alikuwa wapi wakati Jiwe anawatisha wananchi na kuwanyima uhuru wao kwa kutumia vyombo vya dola kuwathibiti?
Kwani ni vijana tu wanaotakiwa kunung'unika na wazee sio sehemu ya jamii inayotakiwa kuonesha ujasiri pale haki inapopokwa?
Butiku anajitokeza sasa ili nae aonekane Kuwa yupo lakini hana faida kwa sasa kwa maendeleo ya Taifa hili. Ana jukumu la kuisaidia familia ya mwalimu ambayo inahitaji sana msaada wake kwa hivi sasa kwani Ukoo una VITUKUU!