Nimemshuhudia Dada'angu akimpiga Mchumba wake(shemeji).

Nimemshuhudia Dada'angu akimpiga Mchumba wake(shemeji).

Ngareroo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2019
Posts
2,164
Reaction score
2,610
Oraaah!!inakua nigani asee Ma'raia wa humu MMU?I hope mko yente kabisaa..Bila kudevela acha niende direct kwenye mada..Ebhana ee mimi ni wa mwisho kuzaliwa katika watoto wa5,Sister angu nnae mfuata ambae ndo wa4 kuzaliwa ana miaka 26,sasa uyu sisteri ana chali'ake ambae age kama kasololoa kinyama kama ana miaka 35 nakuendelea ivi,Uyu Dingilii au bwana shemeji ana ajira yake tu yechu mtumishi wa Serikalini bablai,Na huyu dingilii kampangishia Dadalai nyumba iko tu vyedi uku pande za Njiro Gachuland,Sistaa nae ana biashara zake tu sio kwamba amekaa kiree kumtegemea tu Shemeji!,,Sasa Juzi alinivutia ng'ora nikamdekeree nimpe ata izo ma'hi,nikasema baridi barafu aikatox kwa waenduru,Nimefika pale tumepiga michapo hadi night mishale kama ya saa5 na uraru ivi shemela hatokei maskani,sistaa akasema"Uyu shemela ako kazidi kukesha bar akikata maji na vi'mamiloo vyake,sasa leo ntamkomesha,we ngoja simfungulii ataangusha nje"nikamuuliza kwani ndo tabia yake?akasema ndo zake izo daily mishale ya saa8 ndo anatimba home alaf anatukana kinyama yaani ngendembwee mingi kik*ma,,,Bas me nikasepa kulala chumba cha pili alone kama kelvin wa home,,Mida kama ya saa8 ivi night nikamsikia shemela anabisha hodi ile kibingwa alafu kwa gadhabu"Paulina,Paulina mpenzi wangu fungua mamaa,Paulina fungua bas mama angu"lakini sistaa ka'mute tu,ikabidi Dingilii ajongee fas ya dirisha langu akaanza kuita"Oy Dogolaa Ja..,shemeji Ja.. fungua bas Chaliangu sista ako hafungui"Sistaa akantumia text kuwa nisifungue nikifungua ntamkoma,Daah!!Ikabidi nivae earphones kuepuka zile kelele mingi,Jamaa akalalamika"Yaani Dogolaa unawasha phonenga kabisa afu unajifanya umesinzia?Nifungulie bas shem Ja.."Daah huruma ilinijia asee ikabidi tu nimfungulie chalii ukicheki alivo mstaarabu anaga pigo za ki'whack akiwa haile hajakata maji ile kimamba,,Ile kufungua tu Sistaa kashamrukia jombalai kaanza kumdunda pale doooh ni kisanga na robo Chaliangu,ikabidi nimkataze"Kima wewe kila siku unaniletea ufamba umu ndani,haja zangu unakidhi vipi ulivotepeta ivi ree wewe?"Aisee mamanzi wa chuga bhana ni amsha,Sisi wamaasai sio wakorofi hadi tuchokozwe,nilimkataza sistaa pale amuache shem akamuacha kweli akaenda kulala na mimi nikasepa ndichi chumbani kwangu kuangusha,tukamuacha shemeji pale danta.
@NgarenaroBoy.
 
Kesho asubuhi wewe na Dada yako wote nawapa talaka mrudi kwenu
 
Thread sijaielewa ila nimeelewa kichwa cha habari.
Dada yako kafanya vizuri sana, mwambie aendeleebhadi jamaa akili zimkae sawa.
 
Thread sijaielewa ila nimeelewa kichwa cha habari.
Dada yako kafanya vizuri sana, mwambie aendeleebhadi jamaa akili zimkae sawa.
Hahaha sikupingi mamiloox.
 
Kwahiyo Sister ako hakunwi kisawia, hebu lete Namba
 
Na mtawapiga hao wazembe mkituletea za kuleta sisi wakorofi lazima nikupige ngumi la uso uzime Kwanzaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mafurushi ni ya kutandikwa bakora tu hadi wakumbuke walipoziacha akili zao.
 
Demand ya walimu wa Kiswahili ni mkubwa nchi hii tofauti na serikali inavyodai wanatosha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom