Freelancer
JF-Expert Member
- Sep 22, 2008
- 2,950
- 2,149
Big up kwa akili ambayo si ya kawaida..😀😀😀Nimesoma mara mbili kuitafuta point yako nimeipata...
Imejificha sana ni ngumu kwa akili ya kawaida kuiona.
Kuna wengine watakuja na maneno mbofu mbofu bila kutafakari ulichomaanisha.
Big up Mkuu