We huitaji ushauri wala nini, umeamua tu kutushirikisha cha kufanya unakijua we mwenyewe.....
Btw unaishi wapi huku kwetu pia kuna vibaka nahisi nahitaji kua nasindikizwa
Da kwa maneno hayo nimepatwa na wivu gafla.Ningependa fursa hiyo niipate mimi.Iam a profesional body guard.well trained,good looking man.just consider me plz.