ngalelefijo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 4,145
- 2,829
Mkuu maumivu yako ni kama yangu.anyway wapumzike Kwa amani
Pole sana mkuu.Nimempoteza baba yangu mzazi
Sijui hata nisemeje
Baba ndo alikuwa kila kitu kwangu[emoji22]
Roho inaniuma baba kafa kanipambania mwanae nisome leo baba kafa ikiwa hata hajala mkono wangu nikiwa still napambana kupata kazi
Nimebaki yatima mimi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]