Kyenyabasa
JF-Expert Member
- Mar 8, 2023
- 249
- 711
Aisee binafsi nimekuwa nampinga Lema toka afike nchini na kuibua hoja mbali mbali. Lakini sasa naomba niseme samahani Lema nimekukosea Sana.
Nimekaa kwenye tafakari siku 3 nikagundua kwamba jamii ya watz iko gizani hivyo hiawezi kung'amua hoja nzigo za Lema, na bahati mbaya hata wenye kuelewa hawasemi maana pengine wananufaika na umaskini huu wa mtz.
Haiwezekani nifanye kazi ambayo hainihakikishii maisha bora uzeeni (bodaboda) halafu niite ni ajira njema, kwa wakulima hii tunaiita subsistance farming yaani unalimia tumbo tu.
Kuhusu kujali haki za watu Lema kaongea uhakika kabisa, ukitaka kujua hili nenda kutafuta huduma katika ofisi za umma ndio utaelewa nchi hii ina Safari ndefu Sana.
Kuhusu afya nenda hospitali kajionee vituko katika korido za hospitali ambao mgonjwa anachukuliwa Kama mtu asiefaa, anatukanwa na manesi utadhani nguruwe pori.
Mama wajawazito maskini utadhani labda kubeba mimba ni dhambi kwao, wanatuknwa mpaka sio poa, wanajifungua kwa kupigwa makofi na kusimangwa hadi huruma, sasa Lema akisema mbwa Canada ana thamani kuliko binadamu tz ana kosa gani!?
Nimejiona mjinga nilipojaribu kusema eti huwezi fananisha Tz na Canada, nikajijibu kwani Canada wamewezaje kufika hapo na sisi tumeshindwaje kufika hatua nzuri, inakuwaje tuwe na rasilimali halafu tushindwe kuzibadilisha kuwa utajiri!? Je, tumeshindwa kuwekeza katika akili za watu wetu!? Na nini kimetufanya tushindwe kuitumia rasilimali watu kuwa nyenzo muhimu kujiletea maendeleo!?
Ndg Lema amefichua misukule ya watu iliyofichwa miaka mingi hivyo lazima wenye misukule wawe wakali.
Tungekuwa na akili Kama taifa na vyombo vya habari huru vinavyojua kuona mbali, tungezitumia ajenda za Lema haraka Sana iwe ndio mjadala ili tujue tunatokaje kwenye mkwamo huu.
Tunahitaji akina Lema Kama 20 tu then Taifa litaacha kuzungumzia Mambo mepesi.
Jamani ubodaboda siyo kazi nmefkiria Sana, wewe mtu unafanyaje kazi eti mwl unalipwa tsh 400,000/ sijui Askari sh.400,000 alafu useme Lema anatukana watu.
Ni bahati mbaya hatuna watu wa kukuza mijadala Kama hii, vyombo vya habari vimekalia uchawa.