Nimempiga mimba mke wa Mtu

Shame on you. Ulikuwa unatafuta nini kwa mke wa mtu?
Unaona furaha gani kuvunja ndo ya mtu?
 
Mkuu jiandaa kuwekwa sindano nyuma kama kulipa kisasi kwa ulichokifanya kwa huyo mtu.
 
Kitanda hakizai haramu. Huyo mtoto akizaliwa kisheria ni wa mumewe. Jiandae kwa visasi tu kortini hawezi kukupeleka.

Nitakuwa navaa ngozi ndani ya nguo ili hata akipiga mshale usitoboe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom