Nimempenda teller wa benki fulani

Pesa uli draw za kwako?
Bado Una draw pesa nyingi hapo??

Mfano umemuoa akaja mteja mwingine mwenye pesa mara 10 ya pesa zako akamtaka....umewahi waza Hilo??
Niliachaga kuingia bank siku nyingi sana baada ya kuona nawasumbuwa foleni watu wenye pesa zao, siku hizi namalizana na wakala tu, labda in case unataka kudiposeti pesa nyingi ndio naingia bank.

In short huwezi kumchanganya bank teller ambaye kila siku watu wanafanya miamala ya nguvu anaachiwa laki moja ya lunch.

Huyo Dogo hayajui mambo ya bank kaamuwa tu kuja kuwapanga, unaweza kukuta hapo bundle analotumia ni la Tigo niwezeshe
 

[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we jamaa unaonekana mjuaji sana
 


Hebu amka usije ukajikojolea
 
umekwisha,you are finish,umekwenda na water
 
Nilichonote kwa nini mtu akisema anahela members wa jforum mnamshambulia? Ila angeleta stori za umasikini kuwa analala njaa hana kitu hapo members ndio hujifanya kumsupport kwa kumpa pole...
 
 

Attachments

  • 12.jpg
    20.9 KB · Views: 23
Nilichonote kwa nini mtu akisema anahela members wa jforum mnamshambulia? Ila angeleta stori za umasikini kuwa analala njaa hana kitu hapo members ndio hujifanya kumsupport kwa kumpa pole...
Mbona Kiduku alikuwa hashambuliwi? Ukileta uongo upangilie vizuri, hakuna mtu mwenye akili timamu anayependa kudanganywa, yani unatufanya humu kama ni Watoto wenzako.
 
Unatongoza mkeo wa hiyari!!?

Huyo hataki umtongoze anataka ujiongeze!nenda kalale kwake kabisa ili kujua kama ana mshikaji mwingine!

Anza tu zile!

Samahani KWA ushauri wa kihuni!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…