Nimempenda shemeji yangu

Nimempenda shemeji yangu

Ayo ndio matatizo ya kukaa kwa ndugu hauna ata shughuli yeyote inayokuweka bize, kaa nae mbali ukajitegemee na maisha yako nyau wee
 
Ni bora kugongana na ndugu ila sio mke wa ndugu yako
 
Daah!kumbe nimeamini love doesn't ask why yaani shemeji yangu nimetokea kumpenda kutoka moyoni Ila sasa ndo mke wa kaka angu ntafanyaje....

Nifiche hisia niendelee kuumia
Au nimwambie nijue kama na yeye Ana hisia kama zangu

Na Kama tukipendana tutaonesha picha gani kwa jamii
Dah!

#Iam Zagarino
Ukisha kuwa mtu mzima acha kuishi kwa ndugu nenda katafute maisha yako.
 
Unapokosa shughuli yakufanya huku ukipata mahitaji yako yote bure bila kufanya kazi ndipo Kichwa huanza kuwaza ujinga,na siku zote ujinga ukikomaa hugeuka na kua Upumbavu.
 
Kumbuka malipo ya usaliti yapo, heshimu ndoa ya kakaako.
 
Mke wa kaka!!?
Duuh!! Dunia sasa inaelekea mwisho sasa wajanja kama sisi tunasema Kumekucha!!
Acha haraka kudandia gari kwa mbele yatakayokupata utajuta na hutasahau mpaka uingie kaburini, ushauri wangu wanawake au wasichana wamejaa wengi tafuta wa kwako!!
Heshima ni kitu cha bure, mheshimu broo wako pamoja na shemejio!!
 
Kemea pepo tokaaaa tokaaaa fireee🔥🔥🔥🔥🔥 fire🔥🔥🔥🔥🔥
 
Upumbavu unaanziaga mbali..
Utakuja kusema ghafla ume fall kwa mke wa mjomba.
Na utakuja na swali je shangazi ana laana?
 
Si yaleyale sasa?
Sio yaleyale,ukgonga mke wa ndugu yako anaweza kukuua au mkafarakana maisha yenu yote,lakin ukgonga ndugu kunaweza kusitokee chochote zaid ya kushauriwa tu
 
Sio yaleyale,ukgonga mke wa ndugu yako anaweza kukuua au mkafarakana maisha yenu yote,lakin ukgonga ndugu kunaweza kusitokee chochote zaid ya kushauriwa tu
Duuu Sasa si ndugu nao watakutenga kabisa wakishajua umehalalisha haramu kuwa halali? Ukienda kwa dada yako shemejio pamoja na dada yako watakuwa hawana imani tena nawewe
 
Hama hapo kwa kaka yako. Ndio matokeo ya kula chakula kizuri wakati kazi huna, akili yote inawaza upoloto tu. Ondoka hapo kabla hujaondolewa kwa fedheha

Unapokosa shughuli yakufanya huku ukipata mahitaji yako yote bure bila kufanya kazi ndipo Kichwa huanza kuwaza ujinga,na siku zote ujinga ukikomaa hugeuka na kua Upumbavu.

Niseme nini tena!!
 
Hama hapo kwa kaka yako. Ndio matokeo ya kula chakula kizuri wakati kazi huna, akili yote inawaza upoloto tu. Ondoka hapo kabla hujaondolewa kwa fedheha

Mkuuu kwema
vip wale vijana wako ulio wafundisha kazi ukawakatia na reseni wanaendeleaje????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom