zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,855
Daah! kumbe nimeamini love doesn't ask why yaani shemeji yangu nimetokea kumpenda kutoka moyoni Ila sasa ndio mke wa kaka yangu ntafanyaje
Nifiche hisia niendelee kuumia. Au nimwambie nijue kama na yeye ana hisia kama zangu
Na Kama tukipendana tutaonesha picha gani kwa jamii
#Iam Zagarino
Nifiche hisia niendelee kuumia. Au nimwambie nijue kama na yeye ana hisia kama zangu
Na Kama tukipendana tutaonesha picha gani kwa jamii
#Iam Zagarino