Nimempenda msichana FaceBook

ha ha haha ha ha ha ha akija utakuta demu bayaaa alafu bongeeee
 
Hivi hilo nalo anaomba ushauri eti hajui cha kufanya!
Kwa hali hii itafikia wengine kuomba ushauri kwenda kunya!
Teh,.teh..,teh!
 
Nimecheka. Hizo picha za facebook za photoshop zitawapa ugonjwa wa moyo. Kwa ushauri mdogo mwone mtu physicaly ndipo unene usije kwaa kisiki.
 
hili nalo ni tatizo ka matatizo mengne
 
ni mzuri kweli.. hata mi namuona!

 


Download picha yake uweke screen server
 
Samahani hivi matokeo ya form two na four yameshatoka?
 
Na humu kuna avatar nyingi tu utazipendaje??
 

- Huyo anaweza kuwa mwanaume mwenzako. Ulilizwa uje kutoa taarifa.
- Zinaweza kuwa picha za photoshop.
- Wazinzi ndio walizwao kutokana na picha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…