MwanaHaki
R I P
- Oct 17, 2006
- 2,401
- 710
Waungwana.
Mimi ni Mkristo. Nina ndoa. Miaka 10. Kila ndoa ina tatizo. Haikosi. Ninampenda sana mke wangu mpaka nahisi najipendekeza kwake. Namuombea sana kwa Mungu ili abadilike. Siwezi kukata tamaa.
Lakini wahenga walinena: Maji yakimwagika hayazoleki.
Je, nifanye nini?
Hakosi upendo toka kwangu. Kila kitu ndani ya nyumba. Nguo, chakula, mapenzi, pesa, vyote anavyo. Lakini kasema amechoka.
Nibwage manyanga huku nikijua namkosea Mungu au niende kwa Baba Paroko nikatake msaada wa Kanisa? Sisi wote Wakatoliki.
Nasubiri ushauri wenu. Nampenda. Sitaki kumuacha.