Nimempenda kuliko wote. Lakini hanipendi.

Nimempenda kuliko wote. Lakini hanipendi.

dah! Mungu na awe upande wako.

aka yangu MwanaHaki ukiona ndoa ina umri huo lkn mama akalalamika anataka kukuacha sikufichi pana iblisi amesimama katikati yenu. kuna mdudu mmemkaribisha chumban mwenu na ameingia na kuketi chumban mwenu.

listen to me kama unamini do the following, amka usiku wa manane saa 8 talk to your God mwambie huku ukitamka kwamba Mungu ulinipa huyu mrs MWanahaki awe mke wangu, ulituunganisha wewe lkn leo ibilisi anahubiri kinyume ndnai mwangu.

mwambie kwamba bado nina mpenda na sijawah kumchukia wala siokaa nimchukie, mke wngu bado ni mwema na wewe ulisema yeye apataye mke amepata combo chema sasa kwann leo mke wangu sio chombo chema?? mwambie Mungu ambadilishe awe chombo chema. tena mwambie wazi mungu ulisema nimpende mke wangu na mm nina mpenda na ninajua wewe ni mwaminifu na uaminifu wako unakuzunguka. uliposema wewe hubadiliki wala huna kivuli cha kugeuka basi naamini maneno haya ni haki na yanakuzunguka. naomba uisome ndoa yangu isibadlike wala isigeuke.

pia kimwili sema na mkeo, mshirikishe kukumbuka ahadi za mungu, kuwa mpole kwake na mpende nakwambia atabadilika.
 
Last edited by a moderator:
Wakati mwingine huwa ni pepo, jaribu kupata spiritual deliverance kwa wote wawili. Pole sana, usiache kufunga na kuomba!

Hii ni kweli. Haya, nianzie wapi kupata hiyo spiritual deliverance kwa Dar?
 
Kwa baba paroko unakosea; kwani utakuwa unampelekea - take it from me.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom