astronaut Edward
Member
- Feb 15, 2013
- 9
- 2
Pinda sikaunda tume?subiria usikate tamaa,mnaweza mkarudia mitihani. haha! mm cjafeli necta hata moja ila kwa hyu msichana nimefeli
Pinda sikaunda tume?subiria usikate tamaa,mnaweza mkarudia mitihani.
haha! mm cjafeli necta hata moja ila kwa hyu msichana nimefeli
dah! hivi matokeo ya form six ni lini tena jamani??
Halafu bahati mbaya sana shule yake hawajachaguliwa kwenda JKT...wanaletaje usumbufu mtaani!!!
mimi ni kijana wa miaka 20 nimempenda msichana mmoja kanisani, na naamini nimempenda kutokana hata nikiwa nyumbani huwa sura yake inanijia, tatizo sijui nitamwanzaje kanisani pale na muda wote saa ya kutoka nikimsubiri huwaga na mama yake nahisi hawaachani, mnanishauri nifanye nini maana sijui jina lake wala sina namba yake
Kupenda siyo kitu kibaya, inategemea na kuwa umempenda kwa malengo gani. Kwa maelezo yako na umri wako, inaonyesha wazi kuwa unamtaka kingono. Nakushauri achana na hayo mawazo, tumia Kanisa kusikiliza neno la Mungu na kulitii maana huko kila siku wanapiga kelele watu waache ngono au wavumilie mpaka umri wa kuoa ufike ili wafuate taratibu zinazokubalika. Sijui mwanangu huwa hausikilizagi mahubiri au unakuwaga bize kuangalia vimwana wakati wa kwenda kutoa sadaka na wakati wa kutoka?
Hivi kanisani huwa mnaenda kusali au kutafuta wachumba, sikujua kama kanisani mnaweza kutongozana:biggrin:
dah! hivi matokeo ya form six ni lini tena jamani??