Nimempenda jirani yangu, nifanyeje?

Nimempenda jirani yangu, nifanyeje?

kenny mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2021
Posts
332
Reaction score
948
Wadau Kuna pisi moja Kali sana aisee demu mzuri kinoma tunaishi nae nyumba moja ya kupanga apa DSM yeye anafanya kazi dukani kariakoo ni mzuri kinoma sina maeozea nae sana zaidi ya salama ila nimempenda awe mpenzi wangu mbaya zaidi Mimi nimeacha kutongoza mda mrefu maana mademu siku hizi wanalings sana ukimtongoza unaweza jibiwa mbovu ikawa aibu ila Wadau nitumie mbinu gani kuipata hii pisi

Wadau kila nikionana nae mtoto mzuri aisee nafurahi sana, mbaya zaidi Mimi ni kiongozi wa umeme niliendaga kuomba Hela ya umeme ndio uwa tunaongea sana ila sina mazoea nae sana kivile, Wadau vipi niweke pesa huduma hau nitumie mbinu gani awe mama watoto wangu
 
Kwa hiyo unataka tukufundishe kutongoza?

Angalia utaishia kuila kwa macho halafu siku ya siku unakuja kuona anaingiza kajamaa kachovu mpaka unajidharau kwamba ulikuwa wapi?

Kama hutaki usumbufu anza hivi siku ukiingia kwake kufuata hela ya umeme "Jirani unajua huwa nakuheshimu sana kupita maelezo, sasa siku nikikukosea sijui utanisamehe?

Akishasema tu nitakusamehe hiyo ni ndoano ameshaimeza, mengine malizia mwenyewe sasa! Mbinu hii mimi ilishanisaidia Nikala kiongozi mkubwa wa CCM!
 
Back
Top Bottom