Nimempenda huyu kaka pichani, ki mapenzi

Nimempenda huyu kaka pichani, ki mapenzi

Asante sana hata mimi nakuzimia sana, labda ni mimi huwezi jua[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Huyu anahitaji Konki konki konki masta+oil chafuu
hahahahahaahahahahahahahha, si unajua watu huko nyumbani (vijijini) wanashindwa kutofautisha nguo za kike na za kiume. Yeye akienda kwenye gulio ananunua tu. Wanaume wengine hadi anavaa blauzi bila kujua.
 
Hahaha sasa hawa ndio wanatuaibisha wanaume wa mikoani aisee.
 
Back
Top Bottom