Acha tamaa za mwili.Kaka nimekuzimia. Uko njemaView attachment 943638
Nimependa hasa mavazi yake!Hongera sana.
Huyo atakutunza vizuri tena mkulima hodari, hali chipsi yai.
hahahahahaah, unasemaje wee "mrombo" tumekufanya nini? hahahahahaah.Wasukuma bhana...
Mwenyewe hapo anaona kaulambia, wazigua wanasema "kuvunja sanduku"Duh!Imebidi nicheke tu.Sina namna.Mavazi aliyovaa ndiyo yamenichekesha ila yeye yuko poa.
hhahha, sio Mabuki au Hungumalwa!!!!Atakuwa msukuma wa Misungwi Misasi huyu....
Ni kwere
Avatar yako na huyu kaka pichani mnafanana sana
kweli kabisaAna mapenzi ya dhati
Wacha weee!! hahahahahahhaAvatar yako na huyu kaka pichani mnafanana sana
Asante sana hata mimi nakuzimia sana, labda ni mimi huwezi juaAvatar yako na huyu kaka pichani mnafanana sana