Nimempenda huyu bi harusi

hapa sizungumzii rangi mdogo wangu, nazungumzia mapambo..... mapoudaaaaaa na mazagazaga yake

Upo mtani wangu?? kumbe ni muoga wa maurembo kijivi eehe!! hapa leo nakupa like kwa hilo frankly nikiona mtu amejaa artificial nyingi usoni hutafsiri hata moyoni is the same, a lot of artificials!!!
 
Upo mtani wangu?? kumbe ni muoga wa maurembo kijivi eehe!! hapa leo nakupa like kwa hilo frankly nikiona mtu amejaa artificial nyingi usoni hutafsiri hata moyoni is the same, a lot of artificials!!!
ha haaa, nipo mtani....
kwa kweli mtani mimi na hayo madude hatuendani kabisaaaaa, najipenda nilivyo.....
ingawa kuna watu wanapendeza sana na ma-make up
 
Reactions: BAK
Ni aje rafiki!? ligoti tena!!!??? lol!!! hahahahahah

ha haaa, nilijua tu mdogo wangu...
yaani inapokuja swala la kuomba msamaha na ligoti mpaka pahi sina wasiwasi kabisaaaaaaaaaa, hiyo fani umefaulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…