Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
- Thread starter
-
- #101
Ni kweli kuna watu wanapendeza. ila mi nadhani kila mtu anapendeza akitokelezea simple.wamefunga ndoa watatu!!!!!!!!!!!! aiyaaaaaaaaaaaaaa
ni kweli wamependeza. wakati mwingine simple makeup inawapendeza watu wengine!
najua lazima macho yako yangeona hapo......kwi!kwih!
mi nimeona hapo! hapo kwa chini hapo!kulikowekwa ua!
ila kikweli kapendeza!veeery veeery naturale!
ila dada mkubwa hebu nambie kwani mnabishania nini na shem ??
najua lazima macho yako yangeona hapo......
enzi zangu pia ilikuwa hivyo hivyo, ila kwa sasa nimeacha, umri umenitupa mkono, lol!
shem anataka kunitoa macho eti sababu sijamuona hapo kwa picha
ha haaa, nilijua tu mdogo wangu...ati???? Nicas Mtei ,samahani shemeji yangu!kwani we hapo u kwapi???
naomba kwa adabu hivo na goti lile ambalo mama K alikuwa anakukataje jicho sasa ikitokea unaamkia bila kulikunja!
ha haaa, Boflo I wish ningekuwa mimi, ila kiukweli siyo mimi.......Bi harusi mzuri saaaaaaana...kajaaliwa
Nina doubt huyo biharusi ndio fp
Hongera sana fp
sasa unaninunia nini mdogo wangu?hakyamama nakununia!
ha haaa, nilijua tu mdogo wangu...
yaani inapokuja swala la kuomba msamaha na ligoti mpaka pahi sina wasiwasi kabisaaaaaaaaaa, hiyo fani umefaulu
sasa unaninunia nini mdogo wangu?
pepayi mlongo wangu, nibudili...... koto kuhyoma kamwali
ha haaaa, sasa usiombe kuwa na mtu ambaye msamaha ni kituo cha polisi, unaweza pata kichaa kwa kujisemesha mwenyewe....... sasa si aombe msamaha tu! maana kumsamehe unataka lakini hajauomba huo msamaha, kaazi kweliahahahahhah mi kwa samahani sijui ka nimelogwa kah!
sasa nanunaje nisipoombwa msamaha??
ha haaaaa, natamanije sasa?:A S 101::A S 101::A S 101:hiv hiv sitaki!
twenzetu mtaa wa saba basi!nimejaa teleha haaaaa, natamanije sasa?
halafu unajua kina kitu nataka kujua toka kwako
nimeshakufwata kuleeeee sehemu, nichungulietwenzetu mtaa wa saba basi!nimejaa tele
yeah, she is very beautifulWamehalalisha kabla...hehehehe
Black beauty