Kuna tatizo nimeukwaa naombeni ushauri wenu kwani niko njia panda nilijiunga chuo mwezi januaru lknh huko nilikutana na binti mmoja mrembo sana tulibadilishana nae mawazo na namba za simu kila wakati nilikuwa nimwambia ya moyono amezingu miezi yote hiyo alafu leo kaniambia laif mmcfai kwake amejionyesha kwangu jion hii kuwa ana maboy friend wazuri na wanahela mm nampenda sana sjui nifanyeje
Achana naye... atakupa heart attack
You must be kidding.!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hivi hii ni sentensi moja au ni aya moja inayoundwa na sentensi moja?
Jaribu kuedit ndio tuendelee kuchangia.
Hivi mods wanasoma hizi thread za maneno yalokatwa katwa? Imekuwa kero hapa Jf, tuanzishe mgomo kuchangia thread zenye uandishi kama huu! Ni kero, maudhi, utoto, ......., mods futa, tupa delete kabisaHivi hii ni sentensi moja au ni aya moja inayoundwa na sentensi moja?
Jaribu kuedit ndio tuendelee kuchangia.