Nimempenda Barmaid

Ni vizuri ungeanza kufuatilia utaratibu wa namna ya kuzipata ARV....
 
Yeye mwenyew kashajua umezimika, anakusubir tu umfungukie.. Hahahaa mnawindana
 
Baa inaitwaje nkakusaidie kumwambia
 
Kwanini umemuacha sasa?
 
Kwani Wana tatizo gani hao wanawake wanaouza bia?!
 
Mtoa mada unaomba ushauri wa mazingira aliyopo uyo chura ama kuhudhuria kwene iyo bar?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…