Nimempata Asiyebadilika...

Hi there!!
mie nimefanyeje tena na huyu mentor? kwani wewe na Kaizer kutuongelea kwa mafumbo, mi sjaelewa atii message not deliverd kwangu....:confused2: 😕
Kasinde Happy new year...mafumbo yako wapi niyafumbue!!!!!!

kikubwa tunachohitaji mimi na Kaizer ni wewe kumpatia Mentor semina ya neno la Mungu
nadhani mwallu kashindwa kutoa semina yakinifu
 
Last edited by a moderator:
We kaka Mentor hiyo series ulosema yaanza jana ipo wapi? Naisubiria eti.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

We chelelewa chelewa shauri yako. Umri unaenda ati, usijezaaa wajukuu hahahaha. All the best
 
Kasinde Happy new year...mafumbo yako wapi niyafumbue!!!!!!

kikubwa tunachohitaji mimi na Kaizer ni wewe kumpatia Mentor semina ya neno la Mungu
nadhani mwallu kashindwa kutoa semina yakinifu

Ooooh nilikuwa sijawaelewa, si unajua akili ina mambo kibao sasa kufikiri mlikuwa mnamaanisha nn nilikuwa sipati jibu hata, sasa tuko pamoja.
OK hapo mmefika kwa mama mchungaji mwenyewe ndo mie kwa mahubiri tuu hadi mtanifukuza wenyewe, yaani nimejikuta mwaka huu nina upako wa kuhubiri sana hasa kwa watu waliokata tamaa na maisha na wanaojinenea mabaya juu yao bila kufahamu nguvu na mamlaka waliyonayo juu ya vinywa vyao.
Hope atafanikiwa na hii nimoja ya goals zangu kwa mwaka 2014 hasa huyu Mentor ntahubiri hadi apate mke na aje hapa aseme sasa hayupo yupo tena yupo full occupied na mche wake aanze kupikiwa machalari na sio kula viepe mtaani looh.
 
Last edited by a moderator:

<bold> Nilivyo single hivi bado sili kiepe..sababu hasa ya kuoa ni ipi!?? Kutafuta stress!???
 
<bold> Nilivyo single hivi bado sili kiepe..sababu hasa ya kuoa ni ipi!?? Kutafuta stress!???

muone kwanza, u r playing bad boy, I think darasa nililopanga nikupe linanishinda, but wait, before I leave tell me, who told u that to get married is stressful??
You Mentor bad boy you need a lesson about marriage and I think am gonna be ur mamma and teach u, u know wara am seying man??? d'y gat me? d'y gat me well boy??
I dont think so...... le'me go n tek ma buks, am camin' rait now, am gonna camin bak n tich ya a leson, get prepared boy.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…