Nimempata Asiyebadilika...

Iko tory moja ya mwisho wa mwaka juzi uliileta toka Tanga Bint mmoja aliyekuwa na ngoma na Wazazi wake wakamkataza asiondoke na wewe (hiyo iliniumiza sana)
mwisho wa 2013 umeileta na hii
Basi Mkuu POLE SAAANA
ILA MM SITAKUANGUSHA NI WAKO WA MILELEL UJE UPUMZIKE Mentor
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Hi there!!
mie nimefanyeje tena na huyu mentor? kwani wewe na Kaizer kutuongelea kwa mafumbo, mi sjaelewa atii message not deliverd kwangu....:confused2: 😕

kwa kweli Kasinde na Mentor naona hali si haba.....
2014 nahisi slogani za not ready to mingle zitaisha

halafu mwallu si alitangaziwa ndoa
 
Last edited by a moderator:
happy new year Kasinde, nataka umpe semina ya neno la Mungu, naye atakupa semina ya "arsenal" wake

heheheeee nimejikuta nacheka tuu,
Ok will wait on that mdahalo ili nizidi kumpa neno la mungu hope mwaka 2014 utakuwa mzuri kwa Mentor na atapata mke wa kutulia nae maana hata humu jf kuna waschana wengi tuu nawaona wanammendea na kumtolea macho, akitulia kwa bwana atapata mke, ila na yeye anatakiwa awe mume sio atafute mke huku yeye atake kubaki mvulana, mke au mschana lazima amkimbie
 
Last edited by a moderator:
Heri ya mwaka mpya Mentor,Tunashukuru kwa story zako zote za 2013.Hizi story inabidi nizisave kabisa
 
Last edited by a moderator:

Pole sana asee vizuri vinagharama ujue.ila utapata tu usikonde
 
Shemeji Kaizer,

Heri ya mwaka mpya!

Mna nini nami wewe, Heaven on Earth, mwallu na Kasinde!???

mimi tena unaniweka kwenye grupu hilo? mie mwenyewe hapo juu nimeuliza maswali sijajibiwa sasa ukiniuliza na mie unanionea hata sielewi nini kinaendelea
Mimi sina kitu nawe, ila hapo juu pameongelewa mafumbo nikatajwa hadi dadika hii bila bila.
Labda wao wajibu wna nini nawe mie sina, ni ushauri tuu ndo nilikupa kutokana na mada uliyoianzisha, au ushauri wangu umeenda hadi mwaka 2020 badala ya kuisha 2014?
 
Kumbe Mentor nawewe mzee Wa Sebuleni! Pole sana ila amini kila kitu hutokea kwa sababu Fulani. She wasn't for you man! Your wife is coming soon kwa sababu Ebeneza has never failed.
 
mentor uliahd kudondosha mhadhara mwngne leo,naungoja sana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…