Nimempa zawadi ameninunia

The only

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Posts
11,131
Reaction score
14,636
Katika kuonesha mahubati kidume nikajikamua nikamnunulia perfume kali na dawa moja ya mswaki nikafunga kwenye kibox maalumu siku yake ya kuzaliwa, cha ajabu nimeambulia mijitusi eti ile zawadi aliifungua na rafiki zake wamemcheka sana eti inamaanisha yeye ananuka mdomo na kwapa wajameni nifanye nini?
 
Sasa ww hujui hata mpenz wako anapenda vitu gani halafu unaomba ushauri



Mpe pesa anunue mwnyw
 
Mmh huyo mwanamke hana tu shukurani na hao mashoga zake wanafki tu, ila next time ukitaka kumpa zawadi muulize anataka zawadi gani achague mwenyewe.
 
Toothpaste kupewa zawadi bidada ana haki kujisikia some sorta way.
 
Reactions: Cyb

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…