Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,650
- 10,046
Ulizinunua wapi mkuu?Nimempa Spain Mazima, nimeweka 1,724,000/= baada ya kuongea na boss Mad Max akaniahidi kupata kigari cha bei nafuu nikaamua nikuze mtaji kwa kuweka mechi za uhakika tu.
Nikazama Salamba, nikanunua tips, nikaona nisiweke mkeka wote, nikauchambua nikaona mechi hii nikampa Spain mazima.
Pole sana ndugu muwekezaji.Nimempa Spain Mazima, nimeweka 1,724,000/= baada ya kuongea na boss Mad Max akaniahidi kupata kigari cha bei nafuu nikaamua nikuze mtaji kwa kuweka mechi za uhakika tu.
Nikazama Salamba, nikanunua tips, nikaona nisiweke mkeka wote, nikauchambua nikaona mechi hii nikampa Spain mazima.
Watu wanapesa ya kuchezea yaani wananunua odds??Ulizinunua wapi mkuu?
Duh!!Nimempa Spain Mazima, nimeweka 1,724,000/= baada ya kuongea na boss Mad Max akaniahidi kupata kigari cha bei nafuu nikaamua nikuze mtaji kwa kuweka mechi za uhakika tu.
Nikazama Salamba, nikanunua tips, nikaona nisiweke mkeka wote, nikauchambua nikaona mechi hii nikampa Spain mazima.
Ngoja aje ajibu mwenyewe, huenda kuna chimbo la maana hukoWatu wanapesa ya kuchezea yaani wananunua odds??
Kwenye uzi wetu wa wakamaria tunaombaga uchambuzi wa mechi wao wanakimbiaa kumbe wanaenda nunua odds
Kwa Salamba mkuuUlizinunua wapi mkuu?
Huyo ndo anaeuza odds mkuu?😁😁😁😁 Yani Dominick salamba nae kumbe ana viazi vyake anavikamata nyota, kufa njaa bongo ni kujitakia
Ndo wapi huko, simjuiKwa Salamba mkuu
Zimebaki storiSpain ni ******* wanacheza kama hawana malengo.Kanichosha mtangazaji wa mechi anasema Cape verde ni tiny Island kesho itakuwa holiday kwao.Nilitamani ni vae njumu nikaokoe pesa yangu.Spain kwisha habari yenu washenzi kweli
Usibetie mapenziSpain ni ******* wanacheza kama hawana malengo.Kanichosha mtangazaji wa mechi anasema Cape verde ni tiny Island kesho itakuwa holiday kwao.Nilitamani ni vae njumu nikaokoe pesa yangu.Spain kwisha habari yenu washenzi kweli
Hamna game mbona ilikuwa yao hii basi tu haikuwa siku nzuri leo.Sema acha iwe hivyo hata hivyo nao ndio hivyo tena kumfunga Saudia inawezekana lakini sio kwa upimbi wa leo.Kwa uruguay sijuiUsibetie mapenzi