Nimempa shemeji yangu Mimba

Nimempa shemeji yangu Mimba

Unahangaika nini?
Umesema ulimpenda tangu siku nyingi.
Sasa matunda ya upendo si hayo?
 
Sioni cha ajabu hapo, mlitiana mkijua kbs matokeo yake huwa ni nini
 
"Kuwa na fedha" inategemea analinganishwa na nani. Yawezekana jamaa ni muuza mkaa, shemeji ni mchoma vitumbua. Hapa jamaa ataonekana ana hela kuliko shemejiye.

Au yawezekana jamaa ana ka kazi ka kuajiriwa analipwa laki 4 kwa mwezi, shemeji mama wa nyumbani tu.

Kimsingi, mapenzi yanaweza kusababishwa na mazingira tu. Pesa siyo chanzo pekee cha penzi kustawi.
ndio umrudie mfuga kuku
 
Safi sana nashauri mjengee nyumba mbali na hapo ulipo akuzalie chema.
 
Habarini wadau
Niliongelea kuwa nimejikuta kwenye mahusiano na dada ake na mke wangu baada ya mke kwenda kujifungua nyumbani kwetu. Mazingira niliyobaki nayo na uhalisia yalinifanya nianzishe mahusiano na shemeji yangu ambaye nilimtamani tangu zamani.

Baada ya kutafuta namna ya kuachana nae baada ya kuwa addicted kwake, nilishindwa kumpiga chini. Niliona nende nae taratibu, ila kuna mazingira ambayo nilianza kuyaweka ili niwe nae mbali. Nilitaka niombe likizo nisafiri, ili wiki ijayo anapokuja mke wangu asinikute nae.
Nimefanya mchakato wa kuanza likzo baada ya mwaka mpya nimekubaliwa na mkuu. Jana jioni wakati nataka nipige mashine ananipa habari za kutokuona siku zake. Leo asb nimetoka kununua pegnancy test, majibu ni positive. Na amefurahi anadai hatoi. Nimemuuliza unataka familia yangu ife? Ameniambia hayamuhusu, yeye anachojua amepata alichohitaji.

Nimechanganyikiwa, Nasubiri akili itulie nifanye maamuzi
Nenda kajitambulishe kwa wazazi wake ambo ndiyo waliokuozesha mdogo wake
 
Kama kuna jambo familia huwa zinakosea ni kukaribisha ma shemeji kuishi nao, wengi wameishia kutembea nao, pole sana
 
Fanya jambo hapo nunua MTU awe anae kama mpenzi then mwisho wa siku itaonekana mimba ni ya jamaa
 
Back
Top Bottom