Nimempa shemeji yangu Mimba

Nimempa shemeji yangu Mimba

edf4a260f337b1a419d3bfac988278bd.jpg
Maswala ya chadema yanaingiliaje
 
We jamaa stori yako haijakaa sawa !!! Next time ukitaka kufanya hivyo usiogope kuniomba msaada niwe "Director" wako
 
Mkuu acha maisha yaendelee nature will decide for your mistake...!

Vinginevyo utaharibu utaratibu wote...
 
Sawa,ila kasome mwanzo utaona ilivyo kuwa vita vya Rahel na Lea kwa mumewao Yakobo.
 
Kwani zile story za kujikojolea na kupandisha mashetani zilishindwa? Maana ilikuwa amazing sana. Mbinu zako za kujikojolea na kukauka na Dada mtu kukimbia Nje ziligonga mwamba?
Iligonga mwamba mkuu. Aliniambia twende kwenye maombi, ili nisiwe napatwa na matatizo kama hayo. Nilimwambia tusubiri tuone kama hali hiyo itarudia
 
Habarini wadau
Niliongelea kuwa nimejikuta kwenye mahusiano na dada ake na mke wangu baada ya mke kwenda kujifungua nyumbani kwetu. Mazingira niliyobaki nayo na uhalisia yalinifanya nianzishe mahusiano na shemeji yangu ambaye nilimtamani tangu zamani.

Baada ya kutafuta namna ya kuachana nae baada ya kuwa addicted kwake, nilishindwa kumpiga chini. Niliona nende nae taratibu, ila kuna mazingira ambayo nilianza kuyaweka ili niwe nae mbali. Nilitaka niombe likizo nisafiri, ili wiki ijayo anapokuja mke wangu asinikute nae.
Nimefanya mchakato wa kuanza likzo baada ya mwaka mpya nimekubaliwa na mkuu. Jana jioni wakati nataka nipige mashine ananipa habari za kutokuona siku zake. Leo asb nimetoka kununua pegnancy test, majibu ni positive. Na amefurahi anadai hatoi. Nimemuuliza unataka familia yangu ife? Ameniambia hayamuhusu, yeye anachojua amepata alichohitaji.

Nimechanganyikiwa, Nasubiri akili itulie nifanye maamuzi
Unatenda dhambi ya zinaa alafu unakuja kutushirikisha.

Kapamabane na mkono wa Mungu maana hujutii dhambi yako.
 
Back
Top Bottom