GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,700
- 14,632
Mimi ushauri ninaoweza mpa ni kuwa ili kuokoa ndoa yake anipe namba ya mke wake niongee naye kumshauri kuwa hilo suala si kubwa sana na a take easy.asi complicate.then ndoa yake haitavunjika najua nitakapoonana na mkewe nitaongea naye nini ili mambo haya yaishe kwa aman na upendo
GuDume mtu wa ma adventure ya ajabuajabu unahusika kutoa ushauri hapa.
