Nimempa mimba mdogo wa rafiki yangu

Nimempa mimba mdogo wa rafiki yangu

kijana mkimya

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
277
Reaction score
121
Wakuu,

Naomba mnisaidie kwa hili.

Nimempa mimba mdogo wa rafiki yangu kipenzi, namuambia aitoe hataki. sio kama sina uwezo wa kumuhudumia ila naogopa jinsi watu watakavyonichukulia kutokana na status yangu.

Naona aibu sana jamii inayonizunguuka ikija kufahamu hii habari. naombei mnisaidie wakuu nifanye nini kuondokana na aibu iliyo mbele yangu? Kuhusu kumpeda nampenda sana binti na nina mpago aje awe mama wa watoto wangu lakini sio kwa kuzaa nje ya ndoa.

Wakuu ebu nisaidieni katika hili, nimshauri vipi huyu mtoto akubaliane nami maana anakataa hataki kusikia kabisa habari hizo.
 
Kama unataka awe mama wa watoto wako kwa nini usimchumbie? Siku zote mbuzi anakula kadri wa urefu wa kama yake.

Katoe posa mambo yaishe. Kutoa mimba si jambo jema sana kwani anweza akaathirika vibaya.Ukapata Watoto asiye zaa. Jilipue tu jombaa
 
kijana mkimya, watu wakimya ni wabaya sana nyie. mnajiitaga silent killers!

Back to topic: If unampenda, una uwezo, unaplan aje kuwa mama watoto wako, then nenda katoe posa na protokali zingine zifanyike.
 
Last edited by a moderator:
wakuu naomba mnisaidie kwa hili. nimempa mimba mdogo wa rafiki yangu kipenzi, namuambia aitoe hataki. sio kama sina uwezo wa kumuhudumia ila naogopa jinsi watu watakavyonichukulia kutokana na status yangu. naona aibu sana jamii inayonizunguuka ikija kufahamu hii habari. naombei mnisaidie wakuu nifanye nini kuondokana na aibu iliyo mbele yangu? kuhusu kumpeda nampenda sana binti na nina mpago aje awe mama wa watoto wangu lakini sio kwa kuzaa nje ya ndoa. wakuu ebu nisaidieni katika hili, nimshauri vipi huyu mtoto akubaliane nami maana anakataa hataki kusikia kabisa habari hizo.

lea mtoto tuondolee 'utakatifu wako' hapa; anaweza kuwa maghufuli wa mwaka 2050! kwanza si kuzaa nje ya ndoa ni kuzaa kabla ya ndoa, vinginevyo umeoa!

unafanya mapenzi kabla ya ndoa unaogopa mtoto! tunza mtoto kwa amani kabisa
 
Nipe contact zake nikusaidie kumshauri, atakubali tu ushauri wangu
 
Kauli 'nimempa mimba' imepitwa na wakati.
Tunasema 'amejibebesha/amekubali ibeba mimba'.
Hvyo basi ni juu yake,we endelea na mishe zako.
 
wakuu naomba mnisaidie kwa hili. nimempa mimba mdogo wa rafiki yangu kipenzi, namuambia aitoe hataki. sio kama sina uwezo wa kumuhudumia ila naogopa jinsi watu watakavyonichukulia kutokana na status yangu. naona aibu sana jamii inayonizunguuka ikija kufahamu hii habari. naombei mnisaidie wakuu nifanye nini kuondokana na aibu iliyo mbele yangu? kuhusu kumpeda nampenda sana binti na nina mpago aje awe mama wa watoto wangu lakini sio kwa kuzaa nje ya ndoa. wakuu ebu nisaidieni katika hili, nimshauri vipi huyu mtoto akubaliane nami maana anakataa hataki kusikia kabisa habari hizo.

Utoto unakusumbua subiri ukikuwa na mtoto akawa kazaliwa utapata akili za mchana na si hizo za usiku.
 
Back
Top Bottom