Nimempa Mimba binti wa kiarabu

Nimempa Mimba binti wa kiarabu

Unashiriki vipi kutoa mimba wewe,kwanza anasoma level gani usije ukanyemelewa na 5×6
Mwache azae usiogope sijui waarabu watakufanya nini we ombea Tu mwanao asiwe gaidi
😂😂😂😂😂😂
 
Ungeweka simu chaji ijae vizuri ndiyo uandike ulichokusudia kuandika.

Umevuna ulichopanda huna budi kukila.
 
kila la kheri mkuu katika maandalizi yako ya kuitwa baba kijacho.
usisahau mwenzako mpaka leo hii sehemu zake za siri zimefichwa na shekhe.
 
Hongera kwa kutuwakilisha maana hao watoto wa kiarabu wanalinga sana.

Ila pole maana unaenda kuzaa li alshabaab...
 
Unataka waarab waniue?? Afu kutoroka kaz namwachia nan??

Kazi kila mahali ipo na maisha hatupangi bali yanajipanga
Hata wewe hukujua ipo siku moja utampa mimba mtoto wa kiarabu
Lakini kama umefikia maamuzi go on
 
Nenda marie stopes "ukasaidiwe" ni wataalamu! usifanyie hayo mambo mtaani.
 
Wakuu habr zenu,
Hizi siku nmekuwa adimu sana hasa mambo ya kimaisha sio oficin sio wapi full stress. Since j3 nimepokea taarifa kutoka kwa bint kuwa ni anamimba yangu nikachukulia simple nikaendelea na mambo yangu. Jana ikabid niende nae tukachek ultrasound baada ya kuona she was serious nikajua kwel ipo ya 3 weeks. Hyu bint tumefahamiana mwez sasa na tumekwich mara3 toka tuanze mahusiano.

Me nimemshauri azae but anasema hawez kabsa home hawatamwelewa tena kuzaa na mbongo na pia baba ake ni Katili sana, pili anasoma ana 20yrs kasoro. Ubaya sasa dogo kaanza dalili so kutapika kichefu chefu yani ndo anasumbua balaa analia sana mpaka huruma.

Sina jins inabd atoe tu, miso siziamin sana coz now hazieleweki hazilet matokeo weng zinazingua coz naona hata kwa wana. Naplan nimpeleke hosp tu. Nyie mnaushaurije wakuu....Maon yenu mhm pia nikomae azae?

Mpeleke polisi useme anataka kutoa mimba. Ukitoa mimba itaonekana simple ila baada ya kufanya hicho kitendo nafsi yako itavuliwa nguo kama kinaAdam na Hawa. utakuwa na majuto sana maisha yako yote na kujilaumu sana ila kwa sasa huwezi ona ukishafanya ndo utaona hayo madhala. Mbaya sana mkataze bora azae halafu agawe kwa mtu kuliko kutoa, mtajuta maisha yenu yote. Ukiona mtoto tu unakumbuka.

Mpeleke kwa watalaamu wa afya wamshauri madhara yake. fikiria akikufia maana lolote huwa linatokea. mtu ambaye yuko safi yaani mtu ambaye ana future na ni mtulivu akifanya hicho kitendo tu lazima jambo baya litampata. Ambao unaona wanafanya hivyo mara kwa mara (maana hata kutaja tu hicho kitendo naona shida) wengi wanaofanya hivyo na hawadhuriki ni wale ambao hawajali future zao walishayumba au hawana future at all. Ila mtu ambaye ana future yake shetani hakuachi hivihivi. Anaweza kuharibu kizazi, kifo au mabalaa mengine yoyote lazima yatokee. au nyie wenyewe wakati wa ndoa rasmi mnaweza kosa waototo au mkapata watoto mizigo. (mataahira, au walemavu) ili mradi tu upigwe na wewe kumbuka ile damu mbele za Mungu ni mtu kamili na anadai uhai wake Kwa Mungu siku zote mpaka siku ukifa unakuta kesi yake inakusubili huko mbele
 
Dawa yake ndogo tu ili itoke chukua mayai 5 kuku ya kienyeji chemsha yamenye ale halafu chukua maziwa mgando lita moja kunywa mbona fasta tu six hrs tatizo kwisha..
 
Kwani mpaka useme binti wa kiarabu huwezi kusema binti tu,waafrica mnaji undermine wenyewe
 
Back
Top Bottom