Nimempa mimba, ananichukia hataki hata kuniona

kawaida bro mie nkiwa mjamzito miezi ya mwanzoni kisiranii hicho hadi nahama nyumba kabisa narudi home ikikomaa naanza kummisi mwenza wangu!usiogope au kusikiitika ni normal
 
Acha kabisa! Mimi yamenishida nimetimua atajijua mwenyewe maana kisilani kama nini.
 
Usimkimbie,akishajifungua atakuwa kawaida,hicho ni kisirani cha mimba tu maana mimba nyingi ndo zilivyo
 
Nyie mnaosema its a baby boy acheni vi itikadi vya maskani,, by da way hyo mwanamke ni mimba inayomfanya hivyo so mvumilie and zidisha upendo.. Fanya utaratibu umuoe ili msipate madhambi ya kuzini mbeleni
 
Mkuu yaani ata hamu ya kumuoa sina tena!
 
Mkuu you need to be strong and a real man... If thats the case then you won't marry any woman coz most of them undergo psychological changes during their pregnancy... She has your baby in her womb,for the sake of your child marry her.
 
Thank for your advice mkuu...! Wanawake hawa jamani.
 
Jamani ana jeuri mpaka yamenishinda...! Kikweli nimeshindwa...! Yaani leo ndiyo kabisa kanivuruga yaani acha kabisa women mko je nyir...?

mie nakuaga jeuri,kibri na dharau juu mpk naondoka bila ruhusa ila ikifika miezi saba naanza kummisi so its normal
 
Mpaka naona km nimekosea njia...! Nafikiria tuachane ananisumbua sana.
 
Wala sio kitu cha kuuliza tena uweunamrekodi baadae akishajifungua unamwonyesha alivyokuwa anakutesa hahahahaha mimi mke wangu alikuwa anapenda out then nyamaa choma siku usipofanya hivyo analia mpaka namwonea huruma ila alipomaliza safari yake ngumu aaaah wala hakumbuki vitimbwi vyake
 
Duuh! Hatari sana km vile anachofanya anakielewa...! Unajua ni kiburi mpaka sielewi inakuwaje na mimba isababishe haya yote!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom