Baba siku zote anakuwa na huruma na hg,
kama baba yuko hivi mama atafanyaje,
but ngojea mavuno yako na utayaona.
nyumbani kwako huna mtoto?ikitokea dharura atawasiliana na ww vipi? au ww kama ukiwa na dharura? kumnyanganya simu sio sukuhisho tena hapa unaingiia uhuru wake,cha muhimu akifanyie kazi zako we sema ne mkatazae kuleta watu hapo nyumbani kwani akiamua kuwaleta watakuja tu kwa njia yoyote. acha ubabe.kuwa na housegirl hauna haki ya kumnyima privacy zake ana ndugu pia wanaompigia na wazazi,

Ninyi wote mnaojadili kupingana na mtoa mada hamjui issue za beki 3, wanaingiza wanaume na bahati mbaya hawawafahamu. Kuna ndugu yangu mmoja aliibiwa vitu karibu vyote. Beki 3 kazoea kumwingiza jamaa ambaye mchana huwa yupo hapo mtaani anazuga zuga tu. Akawa anakamua beki 3, tena ndani ya nyumba ya bosi wake. Sasa siku yule jamaa si kaingia na jamaa yake, kwanza kapata kitu kisha akam-drug (kamlewesha madawa) kisha akabeba vitu humo ndani.
Bosi kurudi jioni, badala ya kutafuta vitu vyake ikabidi awe bize na hospitali kwanza.
Msiongee tu vitu vingine. Mi sikubaliani na hii kitu kabisa. Ana BF wake basi wakutane huko wanapojua lakini sio ndani kwangu.
jamani beki tatu wangu alianza haya:kuna katabia kasiko ka kawaida nilikaona kwa beki tatu wetu. Kuna wakati niliambiwa kuwa tukitoka home, baada ya muda mfupi kuna vivulana vilikuwa vikija. Kuna siku tulitega mtego na kweli ndege wakanasa. Tulitoka asubuhi kwenda kwenye mishemishe zetu, kumbe huku nyuma beki tatu akawasiliana na bf wake, kavulana kakaja home, ndani ya robo saa nikarudi kweli nikakuta mvulana wamekaa sitiing room wanachat kwa raha zao.
Nilipoingia ndani waliduwaa, nadhani hawakutegemea, wasijue wafanye nini. Nilimkamata dogo nikampa vibao vya haja dogo akatoka mkuu akiugulia mambata niliochapa. Nikamgeukia beki tatu nikamnyang'anya simu nikamwambia nitampa atakapoenda likizo. Amenuna kishenzi lakini hana jinsi. Tangu siku ile, nimeambiwa sasa hivi hakuna hizo movement tofauti na awali alipokuwa na simu. Kuna siku moja nikaamua kuiwasha ile simu, walai, kuna kama vi boy friend vyake vitatu vinadai mbona siku hizi hawaambii waje home, kwani kuna nini au sisi waajiri wake tuko likizo kwa hiyo muda mwingi tuko home ndo maana hawaambii waje?
Wakuu jaribuni kuwa makiini na hawa beki tatu, kwani wengi wao hatuwajui tabia zao. Tunapokuwa kazini ni mengi yanatokea huku majumbani mwetu, mweeeeeeee! Chukueni tahadhari, huenda nyumba zetu zinageuka madanguro ya muda tunapokuwa makazini. Huenda nimefanya kosa kumpora mobile yake, lakini uamuzi wangu nahisi ni wa heri na ntamrudishia tu atapoenda likizo kwao makete.
Mwenzenu nimefunguka akili, wewe je?
Hivi zamani wakati hamna simu ikitokea dharura tulikuwa tunawasilianaje?
sasa mbona unamfuga kama mnyama? binti mkubwa kabisa huyo.!!
jamani beki tatu wangu alianza haya:
1. Usiku kucha anachati na cm yake, akawa usiku simu anapigiwa akiwa chumbani kwake mpaka tukawa tunakosa usingizi kibaya zaidi majirani wakawa nao wanalalamika kwani anaweka usalama kuwa mdogo
2. Akaanza kuwa anatoka usiku wa manane anaenda kwa kijana mmoja ambae anakaa kwa kaka yake hapa hapa tunapoishi, siku moja nikaamua kuwa tukulala niwe nachukua funguo za mlango wa kutoka nje aaaa wapi si mchana akaenda chongesha funguo mwingine
3. Basi nikashauriana na mwenzangu tukamrudisha sigimbi kwao!!
Analika kabisa na kutafunika huyo au sio??
wewe unavyo mega mke wako chumbani unafikiri nae house girl hapatwi na hamu?
Namlipa 50,000 kwa mwezi. vipi nimuongezee?
sasa mke wako akisema unaona beki tatu wako kuliwa na wengine ili hali na wewe unamtafuna atakuwa na kosa? kwa jinsi hiyo inaonekana we unakula beki tatu wako, kama hauli basi inawezekana ulishamtaka au una mpango wa kumbenjua sasa unaona kama madogo wanafaidi kabla ya wewe...ukimbana sana atakuwa anawasaga watoto wako, ndio ukome kwakumbana beki3 wako....mpe uhuru wake bwana!!!!Kuna katabia kasiko ka kawaida nilikaona kwa beki tatu wetu. Kuna wakati niliambiwa kuwa tukitoka home, baada ya muda mfupi kuna vivulana vilikuwa vikija. Kuna siku tulitega mtego na kweli ndege wakanasa. Tulitoka asubuhi kwenda kwenye mishemishe zetu, kumbe huku nyuma beki tatu akawasiliana na bf wake, kavulana kakaja home, ndani ya robo saa nikarudi kweli nikakuta mvulana wamekaa sitiing room wanachat kwa raha zao.
Nilipoingia ndani waliduwaa, nadhani hawakutegemea, wasijue wafanye nini. Nilimkamata dogo nikampa vibao vya haja dogo akatoka mkuu akiugulia mambata niliochapa. Nikamgeukia beki tatu nikamnyang'anya simu nikamwambia nitampa atakapoenda likizo. Amenuna kishenzi lakini hana jinsi. Tangu siku ile, nimeambiwa sasa hivi hakuna hizo movement tofauti na awali alipokuwa na simu. Kuna siku moja nikaamua kuiwasha ile simu, walai, kuna kama vi boy friend vyake vitatu vinadai mbona siku hizi hawaambii waje home, kwani kuna nini au sisi waajiri wake tuko likizo kwa hiyo muda mwingi tuko home ndo maana hawaambii waje?
Wakuu jaribuni kuwa makiini na hawa beki tatu, kwani wengi wao hatuwajui tabia zao. Tunapokuwa kazini ni mengi yanatokea huku majumbani mwetu, mweeeeeeee! Chukueni tahadhari, huenda nyumba zetu zinageuka madanguro ya muda tunapokuwa makazini. Huenda nimefanya kosa kumpora mobile yake, lakini uamuzi wangu nahisi ni wa heri na ntamrudishia tu atapoenda likizo kwao Makete.
Mwenzenu nimefunguka akili, wewe je?
kweli kabisa akiamua wala hihitaji hiyo simu.
ndyoko huyo ni mtu mzima, anahisia na wakati mwingine mwili wake unahitaji pia. huwa una mpa off yake aende hata kujipuzisha na kufanya shopping au kusalimia ndugu na marafiki?
mimi sifagilii yeye kuleta watu ndani BUT please mtendee kama binadamu tena mwenye uwezo timilifu wa kuelewa jema na baya!!!