Mpaka hapo atatia akili kidogo nime dilute uzi wake. Utter nonsense.
Thanks nitamwambia hubby aende Shimoni.
Be blessed.
Duh pole sana kwa yaliyo kupata,Lakini unaweza dhani umemkomoa kumbe umejikomoa!!!!!
farmers choice kwa sausages ni nzuri kama ulikula mbaya basi hazikua zimegandishwa kama muda unyoeleza
au sausage za aina gani unaongelea mamii
Duh!!!! hii kweli ni dawa ya moto ni moto........
kisasi heavy ila mwisho wake nahisi utaku mbaya mno.
Hahaha....m nkajua mtu akioa akil zinakua za kiutu uzima kumbe loooh...au uliozeshwa kwa lazima!!!..ngja jamaa agundue aje akugegede ww sasa!
Wat a boflo mind!!!
Mpaka hapo atatia akili kidogo nime dilute uzi wake. Utter nonsense.
Thanks nitamwambia hubby aende Shimoni.
Be blessed.
Dawa ya moto ni moto , alianza nimemaliza
Acha utoto wewe hakuna unalolijua endelea na masomo ukimaliza anza kutafuta pesa then uje mtaani ujue nini maana ya kukua kiakili
Thank you dear,yaan much respect!!!!!!! Si umeona mwenyewe ndani ya penalt box ntu kaingia nkapiga bao la kisigino kama Ronald,hapana chezeiya wewe kwenye hizi mambo za dilution,you are a great chemist!!!
Nimeshajua kukua kiakil ni rafiki ako akikugegedea mke wako wewe unamgegeda ad mama mkwe wake....km na ww ulimaliza shule et ndo uko mtaan bas n aibu kwa taifa!!!..
Unafikiri kwa kurud nyuma loooh.....ata mdogo angu wa darasa la 3 ukamuadisia mkasa uo atakuona boza....
Inakuwaje kwa miaka miwili umeshindwa kudeal na mke wako kwa usaliti aliokufanyia?
Mtapakana maradhi hadi mshangae.
Akili yako hiyo.
imefanyaje? Halafu hujanijibu swali langu nawe wazipenda sosej za peramiho???