Mkuu ngararimu Tafadhali usilete hapa matusi. utakula BAN Jaribu kujiheshimu utaheshimiwa usirudie maneno yako hayo tena kwa mtu Mwengine? Kwani wewe nani kakwambia kuwa MkuuBoflo ni bwabwa? Jiheshimu sana usilete matusi hapa jukwaani ninakuomba tafadhali.