Nimemkuta na tattoo

Mwezi mmoja uliopita nlikuta mchepuko kachora tatoo chini ya mgongo karibu na mstari wa tako,nkafanya yangu na kupiga chini Sikh hiyohiyo
 
Pole sana...

Umekuta tattoo tu kwenye kalio unajawa na mawazo... je ungekuta ana kipini kwenye nyuchi...



Cc: mahondaw
 
Mkuu Tatoo ina tatizo gani mtu kuwa nayo? Maana sioninkama ni kitu kibaya ni michoro kama michoro mingine tu huwezi badili matamanio ya mtu. Na sio wote wenye tatoo wanakuwa na tabia mbaya maana sion uhusiano wa tatoo na tabia za ajabu japo mimi sija hata moja.
 
Piga pasi hiyo tattoo fasta nawewe uwe na nembo yako kwake
 
Mnagegedana mmewasha taaaaa ungekua umezima yote ayo usingeyaona mkuu.,pole endelea kula tunda
 
Kula papuchi huku uliendelea kutafuta demu mwingine
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…