Nimemkuta na tattoo

Kuchorwa tattoo kwenye tako sio issue babu.. Ni sawa na kuchoma sindano tu,. Kama tako lenyewe ni la haja, wala usiliache, chukua jumla... Wanawake wenyewe wa sasa wametofautiana vituko lakini wote ni type moja,... Hamna la Maana!
 
Huu uzi bila picha haunogi kabisa braza, fanya mpango wa picha.
 
kuchora tattoo sio shida, shida kuchor tattoo takoni, ndugu we husimuache endelea kujipozea mpaka pale utakapopata mwingine wa kuoa
 
Inanikata mzuka sana akiwa kainama iv
 
kuchora tattoo sio shida, shida kuchor tattoo takoni, ndugu we husimuache endelea kujipozea mpaka pale utakapopata mwingine wa kuoa
Nashukuru kwa ushaur wako mkuu
 
Kama umeridhika na Tabia endelea nae ujue vitu vingine vinakujaga km hulka tu usimuhukumu moja kwa moja
 
Wewe kama hutak tatoo tafta wasokuwa na too very simple habar za nampenda sana unazijua ww akili n kichwan mwako
 
Kumbe you are a man...nilijuaga tofauti aisee haya majina
 
Mapenz Ndugu! Ila navuta pcha alikaa mtindo up huko pind anachorwa? Na pnd akiwa anashkwa makalio anavohema yaan dah!
Wewe kama hutak tatoo tafta wasokuwa na too very simple habar za nampenda sana unazijua ww akili n kichwan mwako
 
Halafu wanapenda sana hizo tatoo za nyota nyota...sijajua zina maana gani
 
Tanzania ya watanzania kwani Tatoo ndio nini?kwani kuwa nayo tatizo ni nini?listen my brother kama umempenda na umeona ni wife material oa,tattoo haina maana kuwa malezi yake yalikuwa sio ,na kuweka tattoo ni kitu cha kawaida kabisa kwa ke na me!!!,loo sometimes ninashindwa kujua why mtu unajiuliza kuhusu kuoa au kutooa kisa TATOO.Njoo kwetu huku Lingusenguse kuna watoto wazuri wenye tabia za A1 NA WANATATOO na maisha yanaendelea.
 
Wapi hiyo ndugu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…