Nimemkuta na tattoo

Nimemkuta na tattoo

Mpwidu

Senior Member
Joined
Apr 3, 2018
Posts
111
Reaction score
117
Habari wana JF,

Huyu ni Msichana niliemuhangaikia muda mrefu sana kwa dhumuni aje kuwa wife. Akaja nielewa akawa anafika home kama kawaida story moja mbili tatu namsindikiza kwao huku pasipo hata mtekenya japo toto Mashallah chuchu "M"

Nyuma kajaaliwa aisee ila nikawa najipa moyo huyu ni wangu tu hakuna haraka.

Kilichonifanya nije hapa Jf Wandugu ni hapa niko nae sahii yupo chakali tayari ila kilichonistua huyu msichana ana tattoo katika kalio moja ya Nyota nyota Tano.

Kutokana na muonekano wake,mienendo yake na life style ya kwao full church na hiki nilichokikuta hapa naomba msaada wandugu wale wajuzi kwa lolote juu ya hizi tattoo katika tako na malengo niliyotanguliza hapo mwanzo ya kuwa nilimfuata awe wife.

Nimemuuliza ilikuwaje hivi ananijibu anapenda tu.
 
Mkuu temana nae Kama anaweza mbinulia mbabu kuchora tattoo, unadhani alimchora hivi hivi bila kumsukumiza hata na vidole au wababu hawana stimu!!

Hicho kitu kidogo kimempotezea sifa ya kuwa mkeo, kuwa na principles Kama za admission jeshini.
Pamoja Asante kwa ushauri wako.
 
Habari wana jf, Huyu ni Msichana niliemuhangaikia mda mrefu sana kwa dhumuni aje kua wife. Akaja nielewa akawa anafika home kama kawahida story moja mbili tatu namsindikiza kwao huku pasipo hata mtekenya japo toto Mashallah chuchu "M" Nyuma kajaaliwa aisee ila nikawa najipa moyo huyu ni wangu tu hakuna haraka. Kilichonifanya nije hapa Jf Wandugu n hapa niko nae sahii yupo chakali tayari ila kilichonistua huyu msichana ana tatuu katika kalio moja ya Nyota nyota ivi Tano. Kutokana na muonekano wake,mienendo yake na life style ya kwao full church na hiki nilichokikuta hapa naomba Msaada wandugu wale wajuzi kwa lolote juu ya hizi tatuu katika Tako namalengo niliyotanguliza hapo mwanzo yakua nilimfuata awe wife. Nimemuuliza ilikuaje ivi ananijibu Anapenda tu.
Kama alikubali kumpa mzee taco ili amchore tatoo haitakusumbua kutumia ujanja umpige picha. Haya fanya haraka lete picha hapa ili tuelewe kiundani situation uliyonayo ili tuwe na namna bora yakukushauri.
 
Mkuu hebu weka picha tuone tuweze kushauri vizuri.
 
Kama alikubali kumpa mzee taco ili amchore tatoo haitakusumbua kutumia ujanja umpige picha. Haya fanya haraka lete picha hapa ili tuelewe kiundani situation uliyonayo ili tuwe na namna bora yakukushauri.
NB:
Sioi mwanamke mwenye tattoo, hasa zilizo sehemu nyeti kama hiyo hatakama ni tattoo ya jina langu.

Maana ukiachana na maana ya tattoo aliyonayo, uwezo wa kubinua taco akaruhusu mtu baki amshike shike wakati wote wa zoezi inaashiria ni namna gani huyo hawezi kuwa mke ninayemtaka.

Yani swala kubwa hapo hata sio maana ya tattoo, bali spirit yakua na tattoo tena sehemu nyeti kiasi hicho. Unless wewe nawe ni mpenda tattoo.
 
Habari wana jf, Huyu ni Msichana niliemuhangaikia mda mrefu sana kwa dhumuni aje kua wife. Akaja nielewa akawa anafika home kama kawahida story moja mbili tatu namsindikiza kwao huku pasipo hata mtekenya japo toto Mashallah chuchu "M" Nyuma kajaaliwa aisee ila nikawa najipa moyo huyu ni wangu tu hakuna haraka. Kilichonifanya nije hapa Jf Wandugu n hapa niko nae sahii yupo chakali tayari ila kilichonistua huyu msichana ana tatuu katika kalio moja ya Nyota nyota ivi Tano. Kutokana na muonekano wake,mienendo yake na life style ya kwao full church na hiki nilichokikuta hapa naomba Msaada wandugu wale wajuzi kwa lolote juu ya hizi tatuu katika Tako namalengo niliyotanguliza hapo mwanzo yakua nilimfuata awe wife. Nimemuuliza ilikuaje ivi ananijibu Anapenda tu.
Tumesinzia saivi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom