tueur de lion
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 902
- 779
Huyo mwanamke ameshakuingiza mjini...,anayeibiwa ni ww na siyo huyo jamaa mwingine
Pokea kisa hiki cha kweli na cha kusikitisha kilicho mtokea kaka yangu wa damu aliyenilea tangu utotoni,
Ilikuwa ni mwaka 2010;Brother alipotangaza ndoa na mwanamke wa Kichagga...,lakn kwny mafundisho ya ndoa mwanamke alimdanganya Brother kuwa "Ukiulizwa kuwa una watoto kataa" huyu mwanamke alimwambia Brother namna hii huku akijua kuwa Brother anao watoto wawili aliozaa na mwanamke mwingine ambaye Tayar ni marehem;vilevile huyu mwanamke wa Kichagga alikuwa anawafaham hao watoto kwa sura na majina
So,wakati wote wa mafundsho Brother alikuwa akiulizwa "je, una watoto uliozaa na mwanamke mwingine?" jibu lilikuwa ni "hapana"
Kilichokuja kutokea baadae,mwanamke alimdhulumu Brother nyumba wakiwa tayar wameshazaa mtoto mmoja (wakiume);mwanamke aliomba talaka baada ya kuwa ameshaandaa ushahid wa kutosha utakaompa credit wakati wa kuomba talaka...,sku ya talaka mwanamke (shemeji yangu huyo,mwanamke wa Kichagga)... aliwaambia wazee wa baraza "huyu mwanaume ( yaani kaka yangu) siyo mwaminifu na alinidanganya kuwa hana mtoto hata mmoja kwenye mafundsho ya ndoa,kumbe anao watoto wawili" na akawataja kwa majina,kwa point hyo moja Brother akaonekana kuwa ni mwongo na nitapeli
Kwa hyo Mkuu,kuwa makini sana usije ukapoteza muda na kipato pamoja na akili!