Nimemkumbuka Vengu wa Komedi

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
15.jpg
 
Jamaa kipindi kirefu sana akiumwa ila habari zake siku hizi hazijulikani sana,alipona hakupona sina uhakika nalo.
 
Aliumwa sana jamaa, alipelekwa mpaka India kwa matibabu kwa gharama za Ze Comedi wenyewe.

Currently anaendelea vizuri sana lakini bado hajapona kiasi cha kufanya kazi.

Jamaa huu ugonjwa ulikuwa unamsumbua toka utoto, ukimwamlia anaumwa kweli.

Anaishi Mikocheni nyuma ya Baraka Plaza, na familia yake inawashukuru sana kina Masanja, hawajamtupa mshkaji kwa sababu mpaka leo anapata mshahara.
 
Muda Mwingi Alikuwa Akikesha Na Mademu Kawe Ktk Baa Maarufu Ya MAIFEA Chumba Cha Kule Juu Kabisa Kisha Totooz Zikibadilishana Tu Kupanda Ngazi Kuelekea Kule Juu. Ndiyo Hivyo Tena Sasa Hivi Analipiga Gitaa La " Dally Kimoko " Hadi Huruma. Naomba Niishie Hapa!
Ale shudu kama vepee
 
Bado Anacheza Tu Na Nyuzi Bin Nyuzi Za " Dally Kimoko ".
sio vizuri kumuelezea mwenzako hvyo.
hujafa hujaumbika unafikili kama atakuwa amesoma coment zako hizi atajisikiaje haipendezi kuwaelezea wagonjwa udhaifu wao uliosabisha malazi yao hata kama ni uzembe hata na wewe yaweza kukuta siku moja
ya MUNGU mengi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom